Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

Hawana meno kisheria kukufanya ulipe ila wanaweza kukutisha kuwa watachafua image yako. Hawa jamaa akili hawana, wanaamini katika lugha chafu na matisho.

Pamoja na hayo, UNAPOKOPA LIPA. Kutokulipa ni wizi tu kama wizi mwingine. Hakuna tofauti yoyote ya wale wa lipa kwa namba hii na anayekopa halafu halipi.
Tatizo la hayo makampuni nao NI wezi na matapeli tu.

Ukiwalipa mara Tatu na kuwalipa ndani ya mwezi mmoja wanatengeneza faida kubwa Sana ambayo siyo stahili yao huku wakimuacha mkopaji na access ya kukopa pesa kidogo hapandishwi kiwango, huu ni Utapeli na hawa ni Kausha damu tu.
 
Tatizo la hayo makampuni nao NI wezi na matapeli tu.

Ukiwalipa mara Tatu na kuwalipa ndani ya mwezi mmoja wanatengeneza faida kubwa Sana ambayo siyo stahili yao huku wakimuacha mkopaji na access ya kukopa pesa kidogo hapandishwi kiwango, huu ni Utapeli na hawa ni Kausha damu tu.
Mkopaji mwizi, mkopeshaji mwizi. Ok boss, ila tabia ya kutokulipa ya sisi waTanganyika ipo tu. Hata wakifuta riba zote ukaambiwa rudisha kama ulivyokopa tuna tatizo la kutokuheshimu fedha za watu. We kopesha majirani zako hata wa3 wenye mishahara mizuri tu waambie warudishe 80%, 20% wabaki nayo halafu usiwasumbue sumbue uone uaminifu wao.
 
Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita.

Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka , kama nitazidisha siku za malipo nitalipa na interest (riba) kama walivyoainisha kwenye mkateba na masharti ya mkopo. Huyu dada akaanza kunifokea, akasema kwani sisi tunataka riba yako, lipa haraka leo. Nikamwambia dada naomba unisikilize kwa makini.

Hiyo sh. Elfu 40 sitawalipa kwa hali na namna yoyote. Wewe ni mjeuri. Labda mtumie zaidi ya milioni 10 kuendesha kesi kuokoa hiyo elfu 40 ndio mtapata na msipojipanga naweza kuwashinda mkanilipa Mimi hiyo milioni 10.
Huu mwezi wa 7 sijawalipa na hawanipigii tena.

Wakopeshaji mjitahidi kuajiri vijana wenye akili timamu.
Siyo ujanja. Ni upuuzi. Ukikopa lipa.
 
Wezi mnazidi kuongezeka Kwa kasi sana.Kama moyo wako haujisikii kulipa deni aisee wewe huna haiba ya ubinadamu.
 
BOT inataka riba ya 3.5 reducing pm. Ukimpa mtu laki arudishe 3500. Sasa naelewa kwanini makampuni mengi hayatii hili agizo.
Tamaa. Maagizo ya reducing balance hawayafanyii kazi. Upuuzi ni mwingi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
TALA pekee ndio walikuja na biashara ya kukopesha online bila usumbufu tena fair play, kila ukiwalipa ni kweli wanakupandisha kiwango tofauti na matapeli wa Pesa X.
Hawa jamaa riba yao ni 150%. Rate ya kitapeli kupita maelezo.

Hivi unamkopeshaje mtu 10,000 halafu anapokea 6,000 pekee halafu bili inakuja anatakiwa kulipa 12,000 hebu make this make sense.
 
Sio busara kuwa msumbufu kwenye kulipa deni,na mara nyingi mkiwa na shida mnakua wapole sana,kwenye kulipa mnakua wajeuri,shida huwa haziishi hizi dhulma zinawatafuna kila siku mnalalamika maisha magumu.
 
Tabia hiyo wanayo Pesa X, ndomana mimi mwenyewe sijawalipa mpaka leo zaidi ya mwaka na simu hawapigi tena
 
Back
Top Bottom