Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

huu ndio ukweli. biashara kama ni bora, inaanza yenyewe kujiuza kabla wahudumu hawajakubembeleza.
 
Kasitama Kea Neva Dai Wa Kwetu, Hii Habari Ya Kusema Ubora Wa Bidhaa Ndio Kila Kitu Tunadanganyana TU.
 
Kila mtu kachoka hata mteja anachoka,utafute hela kwa shida then nikubembeleze?tatizo shishi food wanajiona masuper star
 
fahamuni kwamba kuna Serikali ambayo pamoja na mambo yooote haiwezi kukubali kushinikizwa na mtu yeyote au nchi yeyote, mkitaka kulazimisha hilo ndio mtakuwa mnaharibu. Samia ni mkubwa kuliko ubalozi wa marekani, ni mkubwa kuliko wana harakati, ni mkubwa kuliko cnn na bbc. ukimheshimu utapokea heshima, ukimdharau ukitegemea huruma za mabeberu utalala sero. ndio maana tunataka kujitegemea kwasababu mabeberu wenyewe hawana faida, tupige tozo ya uzalendo tupate hela yetu ili tujiendeshe kuliko kusubiria mabwana zetu walete misaada.
 
Watanzania wengi uelewa wao mdogo, elimu ndogo, exposure ndogo utajipa tabu tu kubishana nao
 
Kila mtu kachoka hata mteja anachoka,utafute hela kwa shida then nikubembeleze?tatizo shishi food wanajiona masuper star
Huez kumfundisha kupenda mtu anaekuchukia kwa kumchukia Bali ni kwa kumpenda so ukikuta negativity wewe add Positivity kwa wahudumu na wao watajifunza kupitia wewe kujua makosa yao na kua positive katika kazi kumbuka ukimtakia mema binadamu mwenzako automatic unaongezewa neema that's law of nature seems like sisi wateja t unajua vizur customer care service klko wahudumu so ni vyema kuwaeleza with love 💗
NB: DAWA YA MOTO SI MOTO
 
Kazi ya uhudumu haitaki mtu mchafu,kiburi,mwenye stress au mgonjwa.ni kazi ngumu sana ukifukuza mteja mmoja atawaambie wengine kuwa pale hapafai utashangaa uwekezaji mkubwa kakini hakuna brwak even
 
Kazi ya uhudumu haitaki mtu mchafu,kiburi,mwenye stress au mgonjwa.ni kazi ngumu sana ukifukuza mteja mmoja atawaambie wengine kuwa pale hapafai utashangaa uwekezaji mkubwa kakini hakuna brwak even
the same goes hand in hand na ubora wa huduma, ukiwa na huduma bora hata ukiwa na wahudumu wabovu watu watakuja tu, na ukiwa na wahudumu wazuri na bidhaa iyoyo na ubora wahudumu hata watangaze haitasaidia. hata hivyo, kuwa na bidhaa bora ikiambatana na wahudumu wanaojua custumer care nzuri ni muhimu. hii ndio iwe hoja.
 
Labda kama biashara yako ni kuchapisha pesa ndugu! Yaani kwamba una bidhaa bora halafu wahudumu wabovu wateja watakuja tu?????

Only in monopoly economy, Tutakuvumilia kama tunavyoivumilia Tanesco na wenzake kama hao. Otherwise kwenye hii dunia ya competition jua tu kuwa biashara kama yako ziko zingine zaidi ya elfu 1.

Hata hivyo kwa huduma za bongo hata ukiwa mteja inabidi tu ujifunze uvumilivu ama sivyo kila siku people will ruin you day.
 
the same goes hand in hand na ubora wa huduma, ukiwa na huduma bora hata ukiwa na wahudumu wabovu watu watakuja tu,
Hapa ndio umekosea we hujawahi fanya biashara ndugu.huduma bora hiyo ikoje bila wahudumu wanaojitambua
 
Hapa ndio umekosea we hujawahi fanya biashara ndugu.huduma bora hiyo ikoje bila wahudumu wanaojitambua
i think nilitaka kumaanisha "bidhaa bora". ukiwa hapo nyuma ya key board unaweza kuamini mwenzako hajawahi fanya biashara, kumbe hujui usichojua. ngoja tuliache hilo uendelee na theory zenu za class. ukifika mda wa kuja mtaani tutaelewana tu.
 
Kwahyo alikua anakuja kwa mwendo anaoutaka yy ww ulitaka akimbie kama kaona joka.
 
Hio biashara itakufa.
Mteja ni kama yai.
Inabidi shishi awe na ongoing training
 
i think nilitaka kumaanisha "bidhaa bora". ukiwa hapo nyuma ya key board unaweza kuamini mwenzako hajawahi fanya biashara, kumbe hujui usichojua. ngoja tuliache hilo uendelee na theory zenu za class. ukifika mda wa kuja mtaani tutaelewana tu.
Class gani mzee mi nimeshafanya biashara zaidi ya ishirini.na nimeshafanya kazi za sales,customer service pia naelewa.bidhaa bora hiyo ni ipi ambayo unayo wewe tu.
 
Wewe fala usizoee, that's was just my opinions, mbona unatoa lugha ya matusi, kwenye comment yangu uneona tusi lolote ? Halafu wewe unaonekana ni mshamba flani umekuja mjini ukubwani
 
Basi watakuwa wanafanya kazi kwa mazoea
Na kuangalia sura

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…