Wewe mbwiga tu achana na mimiHujatukanwa,nimetukana hoja yako
Hoja sio mtu...
Plus,usitukanwe wewe nani?Ukitukanwa na wewe tukana au kama vipi potezea
Unapaniki kama umetombewa mke bwana!
Kumbe wewe ulikuja town ukiwa mdogo?Mimi nimezaliwa town sijawa kuja
Wewe ndio wa kuja umetukuta sisi wazawa!
Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.
Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri
The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.
Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.
Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.
Always remember to add value to your product and service.
Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more
kabisaMuwe mnawatongoza hao wahudumu wapate hata pesa ya kuendesha maisha yao,hivyo vijimishahara bado ni vidogo sana na wanakuwa na full stress.
Muwasaidie tu kuwala kiroho safi.
na umefeli biashara zote, hahahahaClass gani mzee mi nimeshafanya biashara zaidi ya ishirini.na nimeshafanya kazi za sales,customer service pia naelewa.bidhaa bora hiyo ni ipi ambayo unayo wewe tu.
wateja wengi wanawaoneaga sana wahudumu hasa wa chakula mie kuna siku nilimtwanga ngumi mtu kisa kulazmisha kumshka tako dada wa watuJana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.
Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri
The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.
Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.
Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.
Always remember to add value to your product and service.
Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more
Nilifeli sana ndugu yangu nikagundua kosa langu wakati nimeshapoteza mitaji mingi sana ila sikukomana umefeli biashara zote, hahahaha
pole usife moyo, kuna siku utafanikiwa, Mungu yupo.Nilifeli sana ndugu yangu nikagundua kosa langu wakati nimeshapoteza mitaji mingi sana ila sikukoma
Amina matajiri wengi walifeli sana ila hawakukoma,kuna business nimeanzisha inaonekana ya kijinga ila itanitoa kimaishapole usife moyo, kuna siku utafanikiwa, Mungu yupo.
Itakuwa maisha yamemnyooshaWe jamaa una stress Sana
Amina matajiri wengi walifeli sana ila hawakukoma,kuna business nimeanzisha inaonekana ya kijinga ila itanitoa kimaistuonge
there are times tunaongea kama utani, but tukija kwenye point ya kweli, Mungu kaweka siku kila mtu atafanikiwa, shetani ndio huwa anaturudisha nyuma ila kuna siku ikifika Mungu akatibua maji, hata shetani afanyeje mtu huwa anatoboa tu. cha muhimu ni kuendelea kupambana na kutokata tamaa kwasababu anayeanguka mara nyingi akija kusimama huwa haanguki tena. kila tunachopitia hapa duniani ni shule. wengi hata kwa hapa tulipofikia tunashukuru Mungu, ni kwa neema yake tu, kwasababu kama ningesema niandike kitabu cha historia, nilishindwa nikadharauliwa hadi na watoto wadogo, pesa imekata, nikaanza mdogomdogo, siku Mungu alipokuja kufungua mlango shetani anajaribu kufung akila siku anashindwa, amebaki kushambulia matunda tu ila mti ameshindwa kuukata. God's time is better, hii ni kwa kila anayesoma hapa.Amina matajiri wengi walifeli sana ila hawakukoma,kuna business nimeanzisha inaonekana ya kijinga ila itanitoa kimaisha
Umeongea maneno mazito na ya ukweli mtupu kikubwa ni kumtumaini Mungu na kuendelea kupambana tuthere are times tunaongea kama utani, but tukija kwenye point ya kweli, Mungu kaweka siku kila mtu atafanikiwa, shetani ndio huwa anaturudisha nyuma ila kuna siku ikifika Mungu akatibua maji, hata shetani afanyeje mtu huwa anatoboa tu. cha muhimu ni kuendelea kupambana na kutokata tamaa kwasababu anayeanguka mara nyingi akija kusimama huwa haanguki tena. kila tunachopitia hapa duniani ni shule. wengi hata kwa hapa tulipofikia tunashukuru Mungu, ni kwa neema yake tu, kwasababu kama ningesema niandike kitabu cha historia, nilishindwa nikadharauliwa hadi na watoto wadogo, pesa imekata, nikaanza mdogomdogo, siku Mungu alipokuja kufungua mlango shetani anajaribu kufung akila siku anashindwa, amebaki kushambulia matunda tu ila mti ameshindwa kuukata. God's time is better, hii ni kwa kila anayesoma hapa.
there are times unaweza kuwa na mtaji na ujuzi na kila kitu, lakini kwenye ulimwengu wa roho milango haijafunguka, utapoteza tu hela yako. ila Mungu akiweka tiki kwenye ulimwengu wa roho, unateleza tu milango na watu waliofanikiwa wanakutafuta, sio wewe kuwatafuta tena. cha muhimu hapo ni kumtafuta mwenye uwezo kufungua milango, Mungu ndiye anaweza na ana ijara yake, shetani pia ukienda ana ijara/ujira wake (roho yako au za watoto wako), Mungu anasema bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa, wengi tumetafuta sana maisha huko duniani tukapata lakini baadaye shetani akachukua vyake vyote na matatizo juu, tulipokimbilia kwa Mungu kwa principle hii alirudisha miaka yetu yote iliyoliwa na madumadu na parare. nilikuwa siamini hii principle hadi iliponikuta. Asante Yesu.
We jamaa unajifanya una hela huenda huna ata biashara unajimwambafai tuRegardless, mpunguze malalamiko
Ndio maana kuna option ya choice, nenda pengine
Still unalalamika as if they owe you anything
Wateja wa type zenu mnajulikana, wapumbavu sana, mnapenda kushow people what power you have, halafu hua hamna hela, ni makelele tu yasiyo na maana
Ukiamua kutoa huduma lazima ujifunze kuvumilia tabia za wateja. Wateja sio family members kwamba watakuja kama unavyotakaIla wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu
NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
WooiiSi kweli
Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings
Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer
Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment
Fvck em!
Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Naomba kazi bossNikiwa nina hela au sina hela hivi wewe unanitakia nini?
Unaona wivu mtu akiwa na hela?
Too bad I cant help you
Ni juhudi zako wewe binafsi kua masikini,sijakusaidia kua masikini
Biashara zangu hazikuhusu,wewe sio partner au shareholder kwenye makampuni yangu,sasa sijui unayaulizia wewe kama nani?
Nenda kafanye kazi huko ujitoe kwenye umasikini uliomo!