Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

TUNAENDELEA :
Saa nane usiku wakulungwa tunatoka CABINDA kwa usafiri wa Ndege ya jeshi la Angola.....tunafika uwanja wa akiba nje ya kisangani saa mbili asubuhi afu tunakuta uwanja unashambuliwa na vikosi vya waasi venue kupata usaidizi wa wanajeshi wa Uganda.
Rubani anatua hivyo hivyo..........tunakimbilia kwenye jengo la kuifadhia mzigo..huku milio ya risasi iliendelea...wakati huo wale wanajeshi wa Angola wanawarudisha nyuma waasi wasiojulikana wanaosaidiwa na waganda.
Sisi tulikua SESESEKO kaondoka..nchi utatulia... kumbe tulikua tunajidanganya....pale kisangani ndio uwanja wa fujo maingilio yake... namaanisha getini.
KWA WALE AMBAO HAMJAWAHI KUPANDA NDEGE ZA KIVITA..HASA ZA MZIGO.
NI KWAMBA MAZINGIRA YA NDANI HAYANA
STAREHE YOTOTE ZAIDI YA KUKALIA MABENCHI YA MBAO....!!!
NIKASEMA LEO KUMEKUCHA MAPAMBANO YAMEANZIA KISANGANI.
NDANI YA NDEGE WATU WOTE WANAVUTA BANGI ILI KULIFRESH MIND.
MARA NAPEWA BUNDUKI NIISHIKE.
NAPEWA NA MAGAZINE.
NAPEWA NA KOTI LA KIJESHI.
NAPEWA GRUNETI.
NAPEWA NA ELEMENTI YA CHUMA.
ASIKARI WOTE WANAONGEA KIRENO KASORO MMOJA TU NDIE ANAONGEA KINGEREZA.
YULE ASKARI ANANITAFSIRIA ANACHOSEMA MWENZIE ALIENIPA GURUNETI NA BUNDUKI.
Dogo tukishuka kimbia nyuma yake mufuate... Hiyo milio ya risasi inaonyesha waasi wanataka kuuteka uwanja wa akiba.
BUNDUKI nzito.
GURUNETI naogopa litanilipukia.
Washikaji wangu wote wametawanyika kila mmoja kaenda sehemu tofauti,na milio ya risasi inaendelea.....hiyo ndio inaitwa welcome to KISANGANI.
Saa mbili asubuhi watu wanatupiana risasi kama sherehe.
Baada ya milio ya risasi kutulia..ndio tunapata nafasi ya kupumua.
Kumbe wale walikua vikosi vya waasi waliojaribu kuuteka uwanja wa akiba wa Ndege.
Tunakutanishwa na Afande MONOO askari mpya wa jeshi la DRC....ambae anapenda biashara za magendo kuliko familia yake.
Kwa maelekezo ya Col Rutaremwa ndie mwenyeji wetu hapa kisangani.
Tunapandishwa land cruiser na safari ya kuingia porini inaanza.
Hakuna kuiacha bunduki yako iliyokatwa kitako na iliyoambatanishwa na magazine havu zote mbili...na kama hujui kutumia.....utajifunza mbele ya safari.
Kwa mara ya kwanza maishani ndio najua bunduki nzito.
MONOO ANAVUTA BANGI MDA WOTE.
DEREVA WAKE ANAVUTA BANGI MDA WOTE.
WALINZI WAKE WANAVUTA BANGI.
AFU NIMEKAA NAE SITI YA NYUMA ANANIONGELESHA KWA UTARATIBU.
KUMBE COL RUTAREMWA AMEMWAMBIA HAO MADOGO MASOKO YOTE WANAJUA WAO WALINDE KAMA MBONI YA JICHO LAKO.
Sehemu tuliyofikia nitaifanya Siri.
Baadhi ya wenyeji wetu sitowataja.
Na NINGEPENDA mjue hapa sitoi simulizi Bali habari ya kweli kuhusu watafutaji wa kitanzania nje ya mipaka ya nchi yetu.
Wengine waliokufa.
Wengine walidhulumiwa.
Wengine mpaka Leo hawajulikani walipo.
Wengine WALIFANIKIWA.
Ninaandika kwa uchungu mkubwa mno sababu kuna mengi ya kuumiza WAHUNI WA KINSHASA walipitia.
Ndio maana naandika kidogo kidogo nipate kumbukumbu sahii.
AFANDE MONOO NDANI YA GARI LLA JESHI ANAZO DHAHABU MIFUKO SITA ZA KWAKE BINAFSI
HII ALIKUJA KUNIONYESHA BAADAE USIKU.....AKITAKA KUUZA TOFAUTI NA USHIRIKA WA COL RUTAREMWA ILI ASITOE GAWIO KWA BOSI WAKE HUYO.
NAKUMBUKA ILIKUA USIKU WAKATI TUMELALA KWENYE KAMBI YA JESHI....NDIO ALIKUJA KUNIAMSHA NA KUNIONYESHA DHAHABU HIZO.
CONGO BHANA......HATUJAINGIA MZIGONI TUSHAANZA KUPATA DHAHABU....
KIMOYO MOYO TUKASEMA MAISHA SI NDIO HAYA.
PANDA MTI KATA MTI.....TUSHATOBOA.
KUMBE TUNGEJUA....!!!!!
Itaendelea..........!!!

Iwe ulifanikiwa kupata ulichokuwa unakitafuta au hukufanikiwa, huu uzoefu ulioupitia ni utajiri tosha! Natumaai masimulizi hayajaishia njiani. Ngoja niendelee kusoma.

Watu wamepitia mengi! Unaweza ukafikiri umepitia changamoto sana lakini ukikutana na stori ya mwenzako, unaweza ukaona changamoto zako ni za "kitoto"😀
 
Tunaendelea........!!!!
MUNGU NI MWEMA KUKAKUCHA.
AFANDE MONOO............kama kawaida yake akanifuata usiku ule ule tuliokuepo pale KISANGANI na akaanza kunipa maelekezo aliyoyapata kwa LESAPEE MUNDENDE kuhusu harakati za kutafuta mawe......ndani ya maeneo yote ya KIVU KASKAZINI na KIVU KUSINI....na maeneo ya jimbo la Tanganyika.
Tulizungumza mambo mengi na akanipa miiko na nini cha kufanya na nini cha kutokufanya tunapokua na askari wa Mzee Kabila......na nini cha kufanya au kutokufanya tunapokutana na askari wa FDRL au tunapokutana na askari wa RPF......au waasi wa kinyamulenge.
AFANDE MONOO akaniambia kua... kwenye pesa hakuna adui......!!!!
Kila mtu anatafuta pesa.......so tuanze kazi mara moja bila kukawia.

1998.............MWAKA WA NEEMA.
Baada ya Mobutu kuondolewa madarakani na Mzee Kabila kuingia madarakani.....huu ni ulikua mwaka wa NEEMA kwa wadau kujichotea mawe bila bughudha.
Katika maisha yangu sijapata kuona watu wenye uchu wa mali na roho za kibaguzi kama wanyarwanda....iwe wanatokea MULENGE AU RWANDA........kwanza wao kwa wao hawapendani...........na kila kitu wanataka wao.
Wakongomani ni watu wapole na Wana huruma mno......ndio maana watu wanatumia hiyo kama advantage,s.
Plani ikawa tutakua tunaenda sehemu salama na mzigo inaletwa tufanye biashara.... HAIJALISHI kaileta muasi au askari wa jeshi la serikali.
Wakati huo pia Waganda nao walikua wamejaa tele na biashara zao za magendo za KUUZA mawe na silaha.
Unapaswa kujiuliza????
Wakongomani wanatoa silaha wapi??
Kwanini hakuna amani DRC???
Nani alichochea ukabila DRC???
Majibu ya haya yote utayapata wakati naendelea kukuabarisha habari hizi.
Mkumbuke kua ...katika kikao hiki sikuepo peke yangu tulikua watu wengi..........ila kwa sababu mazungumzo yananihusu Mimi...basi nitawahifadhi wezangu kulinda faragha zao.
Unajua baada ya kutokea kwa mauaji ya kimbali nchini RWANDA.....na hayo mauaji ya kimbali kuhamia hapa Zaire...ndio nikajua kumbe siasa ni mchezo wa kuigiza.
Nitayasimulia haya mbele kadri ya uzi unavyoendelea.
TURUDI KWENYE SIMULIZI.
Tukapokea mdau kutoka KABONDO.... ...mtu wa kazi......anaewauzia mawe walebanoni na Waganda na wakenya.
Jina la mdau nalificha sababu hapendi ajulikane mpaka leo.
Jamaa akacheka sana alipotuona sababu kiswahili CHETU lilikua kinamfurahisha.
Katika watu wote pale akatokea kinikubali Mimi na akaomba.........niongozane nae mpaka KABONDO sehemu ya kazi.
Tatizo la maeneo Yale kwa miaka ile usalama ulikua mdogo sana......moyo wangu ukasita nikakataa............ila kwa ushawishi wa jamaa yetu huyu...nikajikuta na Mimi naongozana na ndugu yangu huyu mpaka KABONDO...... kwenye maeneo yasiyo rasmi kunakochimbwa DHAHABU.
Ilituchukua siku tatu kwa njia za kufunga unga mpaka tulipofika kwenye maeneo kunakochimbwa DHAHABU.
Pale nikakutana na watu wamepinda balaa....yaani nikakutana na nchi ndani nchi.
Watu hawana habari na SERIKALI..wao wanachowaza tu......ni kutafuta Hela.
Kwanza wanakaa kwenye vibanda na juu ya miti kama wanyama.
Huko hakuna haki za WATOTO.....
Watoto wanatumikishwa mpaka unawaona huruma.
Kila mbabe pale machimboni ana himaya yake ya kibabe...na ole wako uingie bila RUHUSA.
Itaendelea................!!
"...Kwenye pesa hakuna adui..."😀
 
Watoto wanatumikishwa mpaka unawaonea huruma.
Kila mbabe pale machimboni ana himaya yake ya kibabe...na ole wako uingie bila RUHUSA.
Itaendelea................!!
Naona umeamua kurudi rudia ili tujue umepost nyingi leo.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
TUNAENDELEA :
Saa nane usiku wakulungwa tunatoka CABINDA kwa usafiri wa Ndege ya jeshi la Angola.....tunafika uwanja wa akiba nje ya kisangani saa mbili asubuhi afu tunakuta uwanja unashambuliwa na vikosi vya waasi venue kupata usaidizi wa wanajeshi wa Uganda.
Rubani anatua hivyo hivyo..........tunakimbilia kwenye jengo la kuifadhia mzigo..huku milio ya risasi iliendelea...wakati huo wale wanajeshi wa Angola wanawarudisha nyuma waasi wasiojulikana wanaosaidiwa na waganda.
Sisi tulikua SESESEKO kaondoka..nchi utatulia... kumbe tulikua tunajidanganya....pale kisangani ndio uwanja wa fujo maingilio yake... namaanisha getini.
KWA WALE AMBAO HAMJAWAHI KUPANDA NDEGE ZA KIVITA..HASA ZA MZIGO.
NI KWAMBA MAZINGIRA YA NDANI HAYANA
STAREHE YOTOTE ZAIDI YA KUKALIA MABENCHI YA MBAO....!!!
NIKASEMA LEO KUMEKUCHA MAPAMBANO YAMEANZIA KISANGANI.
NDANI YA NDEGE WATU WOTE WANAVUTA BANGI ILI KULIFRESH MIND.
MARA NAPEWA BUNDUKI NIISHIKE.
NAPEWA NA MAGAZINE.
NAPEWA NA KOTI LA KIJESHI.
NAPEWA GRUNETI.
NAPEWA NA ELEMENTI YA CHUMA.
ASIKARI WOTE WANAONGEA KIRENO KASORO MMOJA TU NDIE ANAONGEA KINGEREZA.
YULE ASKARI ANANITAFSIRIA ANACHOSEMA MWENZIE ALIENIPA GURUNETI NA BUNDUKI.
Dogo tukishuka kimbia nyuma yake mufuate... Hiyo milio ya risasi inaonyesha waasi wanataka kuuteka uwanja wa akiba.
BUNDUKI nzito.
GURUNETI naogopa litanilipukia.
Washikaji wangu wote wametawanyika kila mmoja kaenda sehemu tofauti,na milio ya risasi inaendelea.....hiyo ndio inaitwa welcome to KISANGANI.
Saa mbili asubuhi watu wanatupiana risasi kama sherehe.
Baada ya milio ya risasi kutulia..ndio tunapata nafasi ya kupumua.
Kumbe wale walikua vikosi vya waasi waliojaribu kuuteka uwanja wa akiba wa Ndege.
Tunakutanishwa na Afande MONOO askari mpya wa jeshi la DRC....ambae anapenda biashara za magendo kuliko familia yake.
Kwa maelekezo ya Col Rutaremwa ndie mwenyeji wetu hapa kisangani.
Tunapandishwa land cruiser na safari ya kuingia porini inaanza.
Hakuna kuiacha bunduki yako iliyokatwa kitako na iliyoambatanishwa na magazine havu zote mbili...na kama hujui kutumia.....utajifunza mbele ya safari.
Kwa mara ya kwanza maishani ndio najua bunduki nzito.
MONOO ANAVUTA BANGI MDA WOTE.
DEREVA WAKE ANAVUTA BANGI MDA WOTE.
WALINZI WAKE WANAVUTA BANGI.
AFU NIMEKAA NAE SITI YA NYUMA ANANIONGELESHA KWA UTARATIBU.
KUMBE COL RUTAREMWA AMEMWAMBIA HAO MADOGO MASOKO YOTE WANAJUA WAO WALINDE KAMA MBONI YA JICHO LAKO.
Sehemu tuliyofikia nitaifanya Siri.
Baadhi ya wenyeji wetu sitowataja.
Na NINGEPENDA mjue hapa sitoi simulizi Bali habari ya kweli kuhusu watafutaji wa kitanzania nje ya mipaka ya nchi yetu.
Wengine waliokufa.
Wengine walidhulumiwa.
Wengine mpaka Leo hawajulikani walipo.
Wengine WALIFANIKIWA.
Ninaandika kwa uchungu mkubwa mno sababu kuna mengi ya kuumiza WAHUNI WA KINSHASA walipitia.
Ndio maana naandika kidogo kidogo nipate kumbukumbu sahii.
AFANDE MONOO NDANI YA GARI LLA JESHI ANAZO DHAHABU MIFUKO SITA ZA KWAKE BINAFSI
HII ALIKUJA KUNIONYESHA BAADAE USIKU.....AKITAKA KUUZA TOFAUTI NA USHIRIKA WA COL RUTAREMWA ILI ASITOE GAWIO KWA BOSI WAKE HUYO.
NAKUMBUKA ILIKUA USIKU WAKATI TUMELALA KWENYE KAMBI YA JESHI....NDIO ALIKUJA KUNIAMSHA NA KUNIONYESHA DHAHABU HIZO.
CONGO BHANA......HATUJAINGIA MZIGONI TUSHAANZA KUPATA DHAHABU....
KIMOYO MOYO TUKASEMA MAISHA SI NDIO HAYA.
PANDA MTI KATA MTI.....TUSHATOBOA.
KUMBE TUNGEJUA....!!!!!
Itaendelea..........!!!
Blood Diamond
 
Mkuu kwanza nakupa hongera,pili embu shusha Madini hayo,Uzi wako umekuja wakati muafaka kwa kuwa ndio tunaanza mwaka 2025 naimani wapo Vijana watajifunza kitu hapa kuhusu Maisha na jinsi gani Vijana wa Tanzania miaka ya nyuma walivyokuwa ma Mafia katika kutafuta maisha nje ya nchi,Stori za namna hii ndio zilinifanya mwaka 2006 nianze harakati za kukimbilia nchi za kusini mwa Afrika, nashukuru nimevuruga karibu nchi zote za Sadc
Kweli kabisa,Kuna watu wataufaidi huu Uzi,.
 
Hapa nitapenda kusikia habari za kisangani, bafaswende, mambasa, niania, bangedaido, butembo, bwera, Kasindi, nitapenda ugusie jinsi waarabu wa taqwa , classic walivyotajirishwa na bangi na dhahabu za magendo, nitapenda kusikia kama makako mlikula, nitapenda kusikia visa vya akina general Salim Saleh wa Uganda mdogo wa muse7 , jinsi walivyo vuna mbao pori kupeleka ulaya na dhahabu za kutosha , nitapenda ugusie vita ya wanajeshi wa Uganda na Rwanda kisangani kugombea maeneo yenye madini mengi , nitapenda ugusie wanajeshi wa Rwanda na Uganda waliojipatia mabilioni ya dollar kwenye dili za magendo ya oral au dhahabu na diama au almasi , nitapenda uelezee biashara ya risasi haramu zilivokua zinaingia Congo kutokea Kenya Mombasa zikitokea Pakistan , umenikumbusha visa vingi pia hapa ngoja nilewe kwanza madogo wa Leo laini Sana , enzi hizo Ajira majeshi ya Congo nanrwanda hata uraia hawaulizi mtaulizana baadae na uraia utapewa baadae , Congo , zairwa Acha wateseke ni shamba la Bibi kitambo
Mimi nakataa kabisa kijijini kwangu Gwanseri hakuna mtu mjanja na mwenye exposure za kibabe namna hiii, incase kama unatumia ID gwanseri kama kuenzi asili yako
 
Back
Top Bottom