Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Hapa nitapenda kusikia habari za kisangani, bafaswende, mambasa, niania, bangedaido, butembo, bwera, Kasindi, nitapenda ugusie jinsi waarabu wa taqwa , classic walivyotajirishwa na bangi na dhahabu za magendo, nitapenda kusikia kama makako mlikula, nitapenda kusikia visa vya akina general Salim Saleh wa Uganda mdogo wa muse7 , jinsi walivyo vuna mbao pori kupeleka ulaya na dhahabu za kutosha , nitapenda ugusie vita ya wanajeshi wa Uganda na Rwanda kisangani kugombea maeneo yenye madini mengi , nitapenda ugusie wanajeshi wa Rwanda na Uganda waliojipatia mabilioni ya dollar kwenye dili za magendo ya oral au dhahabu na diama au almasi , nitapenda uelezee biashara ya risasi haramu zilivokua zinaingia Congo kutokea Kenya Mombasa zikitokea Pakistan , umenikumbusha visa vingi pia hapa ngoja nilewe kwanza madogo wa Leo laini Sana , enzi hizo Ajira majeshi ya Congo nanrwanda hata uraia hawaulizi mtaulizana baadae na uraia utapewa baadae , Congo , zairwa Acha wateseke ni shamba la Bibi kitambo

Hii habari imeniuma sana. DRC Inavyoenda enda. Na waarabu wale wa Geita na Nzega wanavyojipata asubuhi na mapema


View: https://www.youtube.com/watch?v=jOvTZQK05EU
 
FRED RWIGYEMA wengine wanamtuhuumu PK, though kuna taarifa zingine zinasema kati ya makamanda wenzie wawili ndio walimpiga risasi baada ya kujibizana kuhusu tactics za vita walizotakiwa kuzifuata. only God knows.

General James Kabarege. Wnamtuhumu PK sababu pamoja na yote, huyu has remained a loyal friend. Na ndio alimtuma kuvuna DRC
 
Back
Top Bottom