Wahuni wa Kinshasa Julai 17 1997- Desemba 25 2024

Respect Kwako,
Kuna brother angu mmoja alienda huko akapata mchongo kuingia jeshi la waasi..

Kuna kitu anisimulia..Kuna dawa za kienyeji zinachemshwa kwenye pipa maji pokopoko..unavua nguo unaingia kwa maelekezo ya mganga..

Anaanza yeye mganga anazama kwenye waji...anawathibitishia..then nyie mnaingia kwenye maji mnapikwaa dawa

Then.
Linafuata zoezi la kutest kukatwa na panga, risasi e.t.c yaan unakua IMMORTAL ukipigwa risasi hazipitii..ukikatwa panga halipiti..

Alinisimulia pia walikua wanavamia vijiji na kushambulia raia na mali ZAO yaan Kama muvi vileee

Mkuu ,
Unaweza kujazia nyamaa... kuhusu risasi kupenya mwilini.
 
Sasa hapo kwenye kutest mapanga etc kama dawa haijakolea ina maana yana penya sio 😬
 
Duuuuh
 
Ninayo clip hii, waafrika tuna tech zetu nying sana ila tunazidharau
 
Hiyo hata Kigoma wanafanya inaitwa kidono 😹

Dawa zinatumiwa sana na majambazi na wajeda hizo, tena mganga akishakufanyia hiyo dawa ukiondoka anawatuma watu wakukate aone km dawa imekubali.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…