Wee unafikiri ule ulinzi wa pale kuna kituo cha polisi na cha uokoaji alafu kibinza gari ilivyokuwa kubwa inaibiwa kabisa na mle kwenye maji kuna mamba pia lakini wameiba. Sasa hapo si mamba wameiba wakapewa na ulinzi kabisa?Kivipi yani Mkuu siku hizi mamba wanakula hadi chuma[emoji23][emoji23][emoji119]
Sasaje na pembeni kuna kituo cha polisi nacha uokoaji[emoji2]Mamba hao ni balaa mpaka wanajua engine ilipo na kuing'oa![emoji23][emoji23]
Ndio hivyo tena[emoji23]Basi hatuna budi tuishukuru awamu hii kwa maajabu hayo ya Mamba mkuu.
Hapo ndipo pakujiuliza na unaambiwa kuna mamba wengi, maajabu haya[emoji23][emoji23]Sasaje na pembeni kuna kituo cha polisi nacha uokoaji[emoji2]
Waokoaji walisema Dereva alikuwa amebanwa na seatbelt wakati wanaokoa maiti yake....hivyo ina maana cabin haikutoka wakati wa ajali.Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??
Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.
Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....
Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Okay, je walisema kwamba Cabin ilikuwa haijang'oka kwenye chassis?Waokoaji walisema Dereva alikuwa amebanwa na seatbelt wakati wanaokoa maiti yake....hivyo ina maana cabin haikutoka wakati wa ajali.
Nini point yako hapo!?Hilo Lori limeopolewa kwakuwa Mmiliki wake Yule Mama alionekana akilia Mitandaoni au? Je, na wenye Umasikini nao Wakilia hivi watasaidiwa?
Nini point yako hapo!?
Watasaidiwa masikini wangap?Point yangu kubwa hapo ni kwamba hebu acha Mtopolo tafadhali.
Inajuaje Kama ni wahuni ndio wamefanya hivyooBaada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.
Wabongo sio watu wazuri.
Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
View attachment 1487470
View attachment 1486831
View attachment 1486827
Bila picha hii hbr ni ya uongo tu
Inabebwa ile usiku kwa usiku sandakalawe kumbuka yule mama alishakata tamaa,Wahuni na injini wapi na wapi mkuu, wahuni Wana deal na betry tu
Inaelekea wewe unaijua vyema scania, ile impact haikuwa ya kawaida, na sioni ajabu kwa engine kung'foka.Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??
Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.
Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....
Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
Kama nao baiskeli zao zitakwama kwenye Mto Mbaji zitaopolewa tu mkuuHilo Lori limeopolewa kwakuwa Mmiliki wake Yule Mama alionekana akilia Mitandaoni au? Je, na wenye Umasikini nao Wakilia hivi watasaidiwa?