Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Wahuni waiba engine ya lori lililotumbukia Mto Wami

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.

635D8240-0EC4-4905-8BBD-0B5625B08FCF.jpeg

Kama ni kweli maneno yako Mkuu basi na walaaniwe hao wahuni, Sasa hapo tukimuita yule Bibi wa Kijaluo Awafanyie dawa waje Kunywa Maji ya Mtoni mtatulaumu kweli? Wahuni ebu rudisheni haraka Engine ya Dada wa Watu.
 
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.

Hilo Lori limeopolewa kwakuwa Mmiliki wake Yule Mama alionekana akilia Mitandaoni au? Je, na wenye Umasikini nao Wakilia hivi watasaidiwa?
 
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.

Wabongo sio watu wazuri.

Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
Mkuu, ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Kisha nikujibu tu kwamba bolts zinazo kamata Engine mauntain ni nne pekee zenye unene wa 16 millimeters.

Gearbox inaunganishwa na bolts 10 zenye unene wa 10 millimeters kutoka kwenye flyn wheel pamoja na pressure, inayo ungana na bell housing ya aluminum.
Sasa.....

Ile impact ya force plus weight kutoka kule juu darajani ingeweza kuhimili kuto kusambaa kwa gari lile...??
 
Mimi nitakua wa mwisho kuamini hili kwasabu.... Ebu kwa akili ya kawaida jaribu kifikiria uzito wa Geabox na Engine. Kisha jiulize Cabin mbona haijatoka na chassis??

Back
Top Bottom