Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Unashangaa kuibiwa waya?!! Watu wanaibiwa mpaka madirisha ya magrill, unachapia mchana usiku wanakuja kung'oa yote. Kiufupi kuna vitu inabidi uweke ukiwa tayari umeshahamia kwenye nyumba vinginevyo itabidi uingie gharama kuweka mlinziDodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Grill ukiweka siku hiyo unaweka Masai analala humoUnashangaa kuibiwa waya?!! Watu wanaibiwa mpaka madirisha ya magrill, unachapia mchana usiku wanakuja kung'oa yote. Kiufupi kuna vitu inabidi uweke ukiwa tayari umeshahamia kwenye nyumba vinginevyo itabidi uingie gharama kuweka mlinzi
wanaiba na mlinzi mwenyewe.Grill ukiweka siku hiyo unaweka Masai analala humo
[emoji23][emoji23]Hivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Acha bwana🤣wanaiba na mlinzi mwenyewe.
Hapo ni Sawa na kuibiwa viatu kwako afu ukashitaki dukani ulikonunulia
Ni kuomba Mungu tu, mlinzi mwenyewe wanaweza wakamuua, kumpulizia dawa ya usingizi n.k ili mradi dhamira yao itimieGrill ukiweka siku hiyo unaweka Masai analala humo
Dodoma sehemu gani mkuuDodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Hamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.Nzuguni aiseee
Umejibu kwa mhemko!! yaan mtoa mada auze sehemu aliyopo ili akahamie huko kisa hakuna vibaka!!?? Jeiefu bana[emoji848]Hamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.
Dawa za usingizi siku hizi ndo zimeshamiri...juzi jirani yetu ameamkia sakafuni wamebeba hadi magodoroNi kuomba Mungu tu, mlinzi mwenyewe wanaweza wakamuua, kumpulizia dawa ya usingizi n.k ili mradi dhamira yao itimie