Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,143
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
 
Hahaha huu uhuni upo Sana haswa Jiji la Mwanza.
Nikupe Pole sana

Tanesco Wanakosa gani ? Kwamba ukariport wakurudishie ama !

Hawana msaada na Weww himaya Yao inaishia kwenye Nguzo. Hapo ni Sawa na kuibiwa viatu kwako afu ukashitaki dukani ulikonunulia [emoji23]
 
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Unashangaa kuibiwa waya?!! Watu wanaibiwa mpaka madirisha ya magrill, unachapia mchana usiku wanakuja kung'oa yote. Kiufupi kuna vitu inabidi uweke ukiwa tayari umeshahamia kwenye nyumba vinginevyo itabidi uingie gharama kuweka mlinzi
 
Hapo ni Sawa na kuibiwa viatu kwako afu ukashitaki dukani ulikonunulia
emoji23.png
 
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Dodoma sehemu gani mkuu
 
Ukimkamata mwizi wako hakikisha unamtundika kwenye umeme wa grid mkono wa kuume chanya wa kushoto hasi! Litakuwa funzo kwa wengine
 
Back
Top Bottom