MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,143
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?