Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Wahuni wameniibia Main switch na wire wa kupeleka umeme kwenye main switch

Mi mwenyewe waliiba sikuwa na namna zaidi ya kuweka vingine
Huo wire ni bei kubwa sana ndio maana unavutia wezi na huenda ni hao hao walioweka wiring kwangu mi niliwahisi hao au tanesco wenyewe waliokuja kuweka
 
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Main switch ni 60k, lakini unavyolia lia utafikiri umeibiwa mke
 
Main switch 80000
Wire mkubwa 6000 kwa mita
Sakiti breka 40000
makadario jumla 250000.
 
Inabidi muonyeshe adivataizi mwizi mmoja ili ije kuwa fundisho kwa wengine ,wekeni mpango mkakati wa kumkamata mwizi mmoja kisha kata misuli ya miguuu kisha mvalisheni tyre mpigeni moto ,mkifanya hivyo inaweza kupita miaka miwili hamjaibiwa.
 
Back
Top Bottom