Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule wahuni wengi sana mnatakiwa mchukue sheria mkononiNzuguni aiseee
Zinapatikana wap mkuuHizi kokoto ni dili sana, wanatumiaga kujengea floor za terazo...sasa ukizitandaza tu chini namna hii, watu lazima wapite nazo
Ukiwa unaelekea Bunju, pale maeneo ya Chama huwa naziona sana
Na tamaa zakijinga maana wanao iba ivo yawezekana nao ni mafundiumaskini umejaa sana nchi hii
Upo Dodoma?Ilazo ndo wapi?
Sasa mkuu anyanyue nyumba aliyojenga aiamishie huko pengine au imekaaje hiiHamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.
Main switch ni 60k, lakini unavyolia lia utafikiri umeibiwa mkeDodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main switch na ikiwa na umeme na kuuchukua wire unaotoa umeme kwenye mita kwenda kwenye Main switch.
Je kuna haja ya kuripoti suala hili kwa TANESCO?
Itakusaidia nini ukipajuaDodoma sehemu gani mkuu
Moshi kila nyumba kuna mwizi sio rahisi kukuta nyumba ambayo haina mtu mwiziHivi kuna sehemu ina vibaka wengi kwa sasa kama moshi!!?
Kila sehemu wizi upo umakini unahitajika.Hamia Kisasa,Ilazo Mwangaza ni sehemu salama sana kwa hapa Dodoma.
Kumbe nyumba yako ya familia unaishi na wezi na huwachukulii hatua zozote.Moshi kila.nyumba kuna mwizi sio rahidi kukuta nyumba ambayo haina mtu mwizi