Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

Yule jamaa aliyekuwa akitajwa kama Kakobe, sijui hatma yake itakuwaje

Kingai na genge lake la wasiojulikana wanajua alipo. Wawajibishwe kumrejesha akiwa hai.
 
Kwa hyo mnafurahia mbowe" kufika Bei"

Kawaulize washirika wenu "Zitto na sheikh Zuberi" na misamaha uchwara yao kama kafika bei.

Wewe kama wao mna msiba mzito!
 
Sasa unadhani kasamehewa BURE?
shtuka

Kasemehewa? Bure kabisa!

Wewe na washirika wako hao Zitto - sambarau na Zuberi - sheikh ubwabwa, mna msiba mzito.

Wekeni matanga!
 
Tena wengine wanatakiwa washushwe vyeo, Ramadhani Kingai na wenzake akina inspector Mahita avulie rank hata tatu kisha wwekwe ofisini tu wawe wabeba mafaili wasiwekwe katika nafasi za kukutana na raia, iwe ni raia wema au wahalifu. Maana kwa sababu yao jeshi la polisi, ofisi ya dci, DPP na hata ofisi kuu ya taifa-rais na nchi kwa ujumla zimedhalilika sana ndani na nje ya nchi
 
Mahita tia ndani.
Kingai tia ndani.
Na wengine wengi
 
Si wewe mwenyewe umeandika?
Mbowe kutoka ni jambo zuri.
Ila zile harakati zake ataziacha.
keshachukua chake mapema

Subiri hotuba yake mara tu baada ya kutoka gerezani.

Usisahau sehemu ya hukumu ni hii hapa:



Ipitie pitie vizuri kujiridhisha.

Kwani angurumapo Simba mcheza nani?
 
Mastermind wa kesi yupo? Tuseme tu imekwisha!

Unauliza majibu mjomba?

Kwani Hangaya, DPP, Sirro, Tiganga, Kingai, Kidando na timu mamburula yote watalala usingizi wa kawaida leo?

Thubutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…