Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

Hapana asilipe kisasi amuache tu ndiyo binadamu tulivo Mana yake Mbowe ndo anapata Neema na Baraka zaidi

Watu wasiokuwa na shukurani kama hawa kuwawajibisha siku moja moja kwa midomo yao michafu ni halali.

Kwamba aliudhika mno? Kwamba Mbowe si gaidi?

Kwa maoni binafsi, huyu chawa si wa kufumbia macho!

Hiiiiii bagosha!
 
Mkuu kwanini wawajibishwe?..kwani hukumu imetolewa kuwa mbowe ameshinda kesi?...kumbuka kuna mtego mbowe kawekewa..mahakama ilimkuta na kosa kabla ya leo DPP hajaachia unyoya

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni mbulula kama kesi imeondolewa mahakamani maana yake yote yaliyosemwa wakati wa proceedings ni closed case kasome sheria
 
Mbowe na yeye awajibike kwa kuwa na tuhuma za ugaidi.

Aachane na siasa sasa.

Integrity ya kuongoza chama ukiwa umetoka kwenye kesi ya Ugaidi haipo tena.

Hakuna mahakama iliyosema hana hatia.

Bali kesi imefutwa.

Hatujasikia utetezi wake hivyo bado hatuna uhakika wa lolote kuhusu tuhuma zake.
 
Nilikuwa najiuliza wale kina Adamoo na wenzake hawawezi kufanyiwa namna ili warudi vizuri uraiani kutokana na muda mrefu walioupoteza gerezani?

Nikapata jibu, kama ikishindikana fidia; basi hata michango ya wapenzi na wanachama itatosha kuwaleta vizuri uraiani waendeleze pale walipoishia kwenye mipango yao na familia zao.
 
Tuhuma bila kuthibitishwa ni usanii mtupu, msubirini 2023 ataondoka, bado mna chini ya mwaka mmoja kuendelea kumvumilia.
 
Tuhuma bila kuthibitishwa ni usanii mtupu, msubirini 2023 ataondoka, bado mna chini ya mwaka mmoja kuendelea kumvumilia.
Kama kweli ana akili angejitetea ila kukubali kuondoka bila kujitetea na hukumu ya mahakama kumsafisha then bado tuhuma zinabakia vile vile.

Mnamiaka 30 kwenye siasa ila makosa ya vyama vya upinzani ni yale yale siku zote.
 
Usilazimishe werevu kuvunja sheria kwa ushamba wako, DPP amepewa mamlaka kisheria kuondoa shauri mahakamani kama hana interest nalo, wewe unalazimisha Mbowe aendelee kujitetea licha ya DPP kutokuwa na nia hiyo kwa sheria ipi?
 
Sirro na mkurugenzi wa usalama wa taifa watimuliwe kwa kuliaibisha taifa
 
IGP zero alimlisha mazaa tozo matango poli!
 
Kama kweli ana akili angejitetea ila kukubali kuondoka bila kujitetea na hukumu ya mahakama kumsafisha then bado tuhuma zinabakia vile vile.

Mnamiaka 30 kwenye siasa ila makosa ya vyama vya upinzani ni yale yale siku zote.

Poleni sana kwa msiba ndugu. Ajitetee kwa kosa lipi ambalo hashitakiwi nalo?
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mwambieni mbowe awe na adabu.

Si wewe, Kingai, Sirro na Mburumundu wote. Yamepigwa vitu vizito utosini.

Hayaamini!
 
JESHJ LA POLISI LIANDAE MTAALA WA KUWAFUNDISHA ASKARI WAKE PGO. YAAANI NI AIBU ASKARI WA CHEO CHA JUU ANAULIZWA KUHUSU PGO ANASEMA HAJUI! POLISI WAPANDISHE MAAFISA WAO VYEO BAADA YA KUFAULU SOMO LA PGO.
 
Jeshi lilitokomea na Moses Lijenje kusikojulikana linastahili kufumuliwa na wahusika wakawajibishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…