Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,603
- 2,039
Lakini ni jambo la kushangaza kuona watu wanataka kuaminishwa kwamba vyombo vya dola kipindi cha serikali iliyopita hawakuona matatizo hayo.Mimi ninachoamini na kukiona hapa ni kwamba wanufaika katika kadhia hii hawakuwa hawa tunaotajiwa tu.Hii itakuwa ilikuwa ni syndicate na bahati mbaya hawa walikuwa mstaei wa mbele.kama nia ni kukomesha vitendo hivi basi uchunguzi wa kina kuwabaini na wengine unapaswa kufanyika.Kingine ni kuangalia jinsi nafasi kama hizo zinavyotolewa kwa wafanyakazi husika kwa maana ya kuangalia historia zao ni watoto wa akina nani ndani ya nchi hii nk.Kuna afasa TRA yupo tawi la mwege anaitwa MHINA ana nyumba kibao Dodoma zikiwemo Hotel, Tanga na Dsm ana nyumba Utitiri hao wanaowatangaza ni cha mtoto hawana mali, sasa hivi Mhina kakimbilia kijijini kwao Tanga kufanya manuva yupo busy kwa Sangoma akituliza upepo wa Magufuli.
Aaahhh wapi wahindi wengi hawalipi kodi na sisi tunao wafahamu tunaanza kuwafatilia. Kwenye maduka wanamashine za EFD lkn receipts hadi udai km vile siyo hali yako. Mashine wanaweka km mapambo tu. Afu wana leta dharau za kijinga kujiona ni bora zaidi
Tehe tehe..
Mkuu umekosea, Le Mutuz System a.k.a Le Bilinganyaz System yeye ni baharia siyo bilionea.
Lemutuz sio billionaire kabisaaa.. Njaa sana yule jama yapokuwa amehustle sanaa kwanzia ubahariaa mpaka leo hii anakipindi chake.
unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100
Aaahhh wapi wahindi wengi hawalipi kodi na sisi tunao wafahamu tunaanza kuwafatilia. Kwenye maduka wanamashine za EFD lkn receipts hadi udai km vile siyo hali yako. Mashine wanaweka km mapambo tu. Afu wana leta dharau za kijinga kujiona ni bora zaidi
Ma afisa wengi wa tra ni mabilionea
Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?
Ndogo sana hizo kwa hadhi yake kulinganisha na lowassa mwenye ng'ombe 3000.meneja ongeza uwekezaji .watu wazidi kupata kazimeneja wa tra temeke anamiliki ekari 300,ngombe na mbuzi 500 huko mkuranga
ekari yauzwa tshs ngapi?
Ma afisa wengi wa tra ni mabilionea