unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100
Mkuu hata ng'ombe na mbuzi 500 wkt hawa ni viumbe wanaozaliana ??? Hebu tuwe serious jamani
Kama ni msitu wa kufyeka haizidi lakiekari yauzwa tshs ngapi?
Hakuna mtumishi wa TRA ambaye ni masikini ,wote ni matajiri wa kutisha utadhani ni wauza sembe wa Colombia au Mexico,wao wanashindana kwa kujenga majumba,kununua mashamba,magari ya kifahari na kuwa na nyumba ndogo kibao,wakati mishahara yao ni ya kawaida tu ,haina uwiano na utajiri walionao.Watumishi wengi wa TRA sasa wapo kwa Sangoma uchawi wako hautawashika bali wao ndiyo watakuroga.
Hivi Rais aliyepita alikuwa anafanya kazi gani?
Ha! Ha! Haaaa !!!!!
hakuwa baharia bali alikua mpishi kwenye meli ya wagiriki.
Ma afisa wengi wa tra ni mabilionea
meneja wa tra temeke anamiliki ekari 300,ngombe na mbuzi 500 huko mkuranga
Ha! Ha! Haaaa !!!!!
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake