Waigizaji na wanamuziki wa Tanzania waliosoma (waliopiga kitabu)

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
 
Ukishajua Itakusaidia nini??
Acha UMBEA kjjana.
Tumia fursa zilizokuwepo utafute maisha hatimae utoke kimaisha.

Habar fulan amesoma mpaka level fulani siyo ishu chamsingi nikukomaa nautafutaji then uweze kuishi vizur hapo baadae.
Samahan (Mdogo wangu) najua nitakuwa nimekukwaza...

Elimu siku hizi halipi sana kama ukifanya business somewhere na ikapokelewa vizuri na wateja ukapata faida kinoma.

e.g. Bakhresa,MANJI, hana degree but anapiga ela kila kukicha
 
Mbn mapovu au una undugu na Lulu au Ray kigosi mzee...
 
Back
Top Bottom