Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o


Kumbuka wasanii wa kibongo wengine wanajianika waziiiii mitandaoni kama duka la mzungu tena bureee
 
but sanaa kasoma us iyo nayo imemsaidia na lugha pia huyo wema hakuwahi kufikiria kuwa mwigizaji alikuwa kwenye urembo tu wahusika wakampenda wakamvutia huko but still wasanii wetu wengi hawana elimu wanaingia tu kwavile wanahisi wanajua kuigiza

Chuo cha sanaa Bagamoyo si kinafundisha uigizaji?
 
Wewe umeona tatizo lipo kwa waigizaji tu ? juzi kilichotokea kilimanjaro marathon haukuona au ? wakenya ndio wametamba wabongo tukawa wasindikizaji......

We ungesema tu watanzania ni janga na sio waigizaji peke yao.
 
Wasanii wetu wanagombea mabwana Instagram na Skendo za ngono.
 
yah!lupita nyong'o, KENYA JUU!!! wasanii wa kwa kwenu tanzania si wako tu wanampea ku*m* diamond!!!KENYA JUU!!!watanzania hamuko na kitu munaweza,uvivu tu...!!!
 

Kweli kabisa
 
Wewe umeona tatizo lipo kwa waigizaji tu ? juzi kilichotokea kilimanjaro marathon haukuona au ? wakenya ndio wametamba wabongo tukawa wasindikizaji......

We ungesema tu watanzania ni janga na sio waigizaji peke yao.

Nimegusia waigizaji na wanamuziki,ila kama unavyosema,watanzania ni janga la dunia.
 
Leo sio mara yangu ya kwanza kumsikia Lupita ila leo ndio nimeujua umri wake halisi.Lupita amezaliwa 1983 kwa hiyo ana miaka 31.
Ila inashangaza jinsi ambavyo Wema anayedai ana miaka 22 na Wolper anayedai ana 26 mbona sura zao zimelegea sana as if wamekula christmas nyingi kupita dada yao Lupita.

Kwa kweli ni vigumu mtu kunishawashi kuwa hawa warembo wetu ni wa wadogo kuliko Lupita.
Hawa dada zetu wamezidi kudanganya umri kama Wolper anaonekana kabisa yuko mid 30 ila anajifanya mdogo na kubehave kama teenager.

Dada zangu umri mkubwa nao una faida zake na pia kuishi kwingi ni baraka.Kwanini mnajirudisha nyuma wakati nyuso zetu zinaonesha nyie ni watu wazima?Au mnadhani mkisema umri wenu ndio hatutafurahia kazi zenu au mnaogopa nini hadi mtudanganye wakati tuna macho na tunaona kabisa mu wakubwa zaidi ya mnavyodai.

31 years old Lupita.

22 years old miss Sepetu.

26 years old Wolper
 

Attachments

  • wolp.PNG
    89.2 KB · Views: 1,863
Unajua hawa dada zetu huwa wanaendekeza ule mchezo wa baba na mama wakiwa wadogo lazima kilometer zisogee na kuonekana wamezeeka! Na pia ukishazoea kutembea na wazee lazima nao wazeeke mapema!
 
Unajua hawa dada zetu huwa wanaendekeza ule mchezo wa baba na mama wakiwa wadogo lazima kilometer zisogee na kuonekana wamezeeka! Na pia ukishazoea kutembea na wazee lazima nao wazeeke mapema!

Hatari sana..Inawezekana aisee...Ndio maana picha lazima wazipige kitu cha camera 360 ndio mvuto utokee..
 
Wema kila siku yupo 22 ..au ni yale ya miaka 1000 ni kama siku moja kwake? Amekuwa mungu?
Sijui chibu ana mingapi mana nasikia wema kamzidi miaka 4
 
Heee nimependa huwo msuko wa nywele wa wema lol......
Heaven on Earth uje unisuke na mie lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…