Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

lupita ni mzuri na anauzuri wa asili,hamna mkorogo kwa lupita,naipenda sana rangi ya asili
 
Zile speculation kuwa huenda star mpya wa Hollywood Lupita Nyong'o ana uhusiano wa siri na mwigizaji mwenzake Jared Leto zimezikwa na speculation mpya kuwa huenda rapper na mwimbaji wa Somalia aitwaye K'naan ndiye mpenzi wa Lupita.​
Picha mbalimbali zilizosambaa siku moja baada ya Tuzo za Oscar zikiwaonesha Lupita na rapper K'naan mwenye asili ya Somalia, wakiwa katika pozi zinazoashiria ukaribu mkubwa ndio zimezua speculation hizo.
Katika picha hizo K'naana anaonekana pia amembebea tuzo yake ya Oscar.

Keinan Abdi Warsame a.k.a K'naan ambaye amewahi kuhit na single yake ‘Waving Flag' mwaka 2010, walionekana wakiwa pamoja siku ya Jumatatu wakati Lupita akitoka kufanya mahojiano na Live.

Ripoti zinasema kuwa K'naan pia alikuwepo katika matukio ya awali kabla ya siku ya Tuzo za Oscar kumpa support Lupita, na Lupita amekuwa akisema jinsi anayopenda muziki wake kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, na mwezi uliopita (February 27) alihudhuria show yake Hotel Café, huko Los Angeles ambayo pia alimsaidia kumfanyia promo.
Hii ni picha waliyopiga Ava DuVernay, K'naan na Lupita december 2013 wakisheherekea nomination za SAG Awards
Moja ya post za K'naan ambazo inathibitisha ukaribu wao

bkuHABARI Blog
 
Hahahahahahaha


Kweli peruvian hair zinasaidia

Hapo wema katokelezea kama bibi kizee

Hahahahahah


Utadhani ana miaka 50
 

Mkuu mizigo wanayobeba imezidi, mfano MAWE, ebu wahesabu uone kama mwili hawezi choka na kurepweta
 
picha ya wema imeniacha hoi hyo mizigo wanayobeba uki compare Lupita anaonekana mdogo kama teeneger wao kama bibi kizee
 
Hiyo picha ya wema aliviziwa wakati wa kupigwa ama?
maana anaonekana ni kikongwe wa longtime.
 
hizo picha za Wema naona hata Anna Makinda ana nafuu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…