Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

Hiyo style ya nywele ya wema itaigwa sasa hivi....
 
Samahani wakuu,huyo anayefanana na wema ndiye wema mwenyewe ,mami wake au shangaziye?
 
Jamani hii kampuni ya Bongo movie Inatoaga pension kwa muda gani coz kuna watu humo ni first class pensioner.


Wema anastahili kiinua mgongo jamani tena katika hili nitakupigia debe upate haki yako khaa!!
 
Lupita ndio habari ya mjini siku hizii,akifunika kifua anapendezaa kwelii
 
Wapi lile afroooo K'naan

Nisingemtambua kabisa!
 
K’naan kunyoa lile afro lake amefana na Saigon wa Dance mia mia..
 
Wema kila siku yupo 22 ..au ni yale ya miaka 1000 ni kama siku moja kwake? Amekuwa mungu?
Sijui chibu ana mingapi mana nasikia wema kamzidi miaka 4
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…