Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee...! ngoja nije niende mwananyamala kwa wema nikamfanyie nae interview..
usisahau kutuwekea clip ya hiyo interview
Samahani wakuu,huyo anayefanana na wema ndiye wema mwenyewe ,mami wake au shangaziye?Leo sio mara yangu ya kwanza kumsikia Lupita ila leo ndio nimeujua umri wake halisi.Lupita amezaliwa 1983 kwa hiyo ana miaka 31.
Ila inashangaza jinsi ambavyo Wema anayedai ana miaka 22 na Wolper anayedai ana 26 mbona sura zao zimelegea sana as if wamekula christmas nyingi kupita dada yao Lupita.
Kwa kweli ni vigumu mtu kunishawashi kuwa hawa warembo wetu ni wa wadogo kuliko Lupita.
Hawa dada zetu wamezidi kudanganya umri kama Wolper anaonekana kabisa yuko mid 30 ila anajifanya mdogo na kubehave kama teenager.
Dada zangu umri mkubwa nao una faida zake na pia kuishi kwingi ni baraka.Kwanini mnajirudisha nyuma wakati nyuso zetu zinaonesha nyie ni watu wazima?Au mnadhani mkisema umri wenu ndio hatutafurahia kazi zenu au mnaogopa nini hadi mtudanganye wakati tuna macho na tunaona kabisa mu wakubwa zaidi ya mnavyodai.
View attachment 143333View attachment 14333531 years old Lupita.
View attachment 143336View attachment 143337View attachment 143338View attachment 143340View attachment 14334122 years old miss Sepetu.
View attachment 143342View attachment 143343View attachment 14334526 years old Wolper
Samahani wakuu,huyo anayefanana na wema ndiye wema mwenyewe ,mami wake au shangaziye?
Ndio yeye mkuu hapo bado hajaingia gereji.
Mi mwenyewe nilidhani maza ake...Halafu huyu demu miaka kumi ijayo atakua exactly kama mama yake anavyoonekana leo....
wema kwasasa sishangai kuwa na umri wa miaka 22, kwasababu alimaliza darasa moja na mdogo wangu ambaye yeye kwa sasa ana miaka 24, na ananiambiaga alimzidi wema mwaka mmoja wakati wapo darasa la saba pale academic mikocheniWema kila siku yupo 22 ..au ni yale ya miaka 1000 ni kama siku moja kwake? Amekuwa mungu?
Sijui chibu ana mingapi mana nasikia wema kamzidi miaka 4