Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Christina HAPANA
 
6,7 sijui nyimbo zai hata moja



Ambwene ana nyimbo inaitwa nguvu ya kujua,chozi la haki[emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Abiud misholi. Unikingie msiba,nani atanitazama
Fanuel sedekia album ya katika ibada[emoji1316]
Hakika mkuu, Abiudi na Sedekia ni level nyingine kabisa.

6 na 7 wacheki YouTube utawaona.
 
Unamjua Rehema Simfukwe?
Martha Mwaipaja ana tofauti gani na Bahati Bukuku? Tena kwa vigezo ulivyoweka, Bahati Bukuku yupo mbele ya Martha Mwaipaja. Boaz Danken pia yupo mbele ya Joel Lwaga!
Kweli Rehema nimemsahau bahati mbaya, anastahili kuwepo list ya pili.

Sidhani kama ni sahihi kumfananisha Martha na Bahati. Martha yupo level ya juu sana kwa bahati. Nyimbo za bahati siku hizi hazina uhalisia wa neno la Mungu.
 
Kwenye list umejichanganya na maelezo.
Ondoa
Lwanga
Clement
Shusho
Martha
Hawa ni watumbizaji
 
Kwa vigezo vilivyoainishwa basi ingepaswa
1. Paul Mwangosi
2. Boazi Danken
Boaz anakuja vizuri na pengine katika siku zijazo atapanda juu zaidi. Paul yupo poa sana lakini ukiangalia kwa karibu anabebwa zaidi na huduma ya mana na hajawa exceptional sana akisimama mwenyewe.
 
Kwenye list umejichanganya na maelezo.
Ondoa
Lwanga
Clement
Shusho
Martha
Hawa ni watumbizaji
Mkuu jaribu kueleza vizuri kwanini hao waondolewe maana hapa bado sijakuelewa.
 
Uuuuuuu!
Uu uuuuuuu!
Umeweka wimbo kinywani mwanguu,Bwana niimbe sifa zakoo!
Umeniumba Ili nikuabudu,nakuabuduu,nakuabuduuu.........

Wewe uketie juu ya vyote,sifa hizi zifike kitini pako,wimbo huu ukawe manukatooo.....we miss you Sedekia❤️❤️❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…