Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #61
Mwansasu yupo kwenye list ya pili pale maana namfahamu sana.. ila huyo Jangalason hajafikia level ya kitaifa.Braza ww ni mfatiliaji wa nyimbo za injili wa miaka ganii humjui Jangalasoni.....
Umewahii kusikiliza hizi nyimbo hizi chini...
1. Wachungaji tuelezeni ukweli
2. Usimuige mbuzi
3. Undugu siku ya msiba
4. Usaliti wa ndoa
5. Okoka kiukweli
6. Jikongoje
7. Taifa Teule
8. Malaya wameoza
9. Mbiguni sio Mochwari
10. Amezaliwa Yesu
11. Wokovu ni Safari
12. Dungwa Sindano
13. Vaa viatu
Huyu mwamba anaimba Gospal Katuni ujumbe unafikaa hakuna kupamba pamba watu...
Usimuige Mbuzi ndo Kiboko, huyu ni veterani wa Gospal enzi za kijitonyama kwaya, Kwa viumbe vyote, lulu, Sauti Ikatoka
Kuna yule Mchungaji kwa sasa marehem Ephrahim Mwansasu aliimba nyimbo kama Kutesa kwa Zamu, Nikimaliza kazi, Kifo na nyingine Nyingii....
Inashangaza kusema huwajuii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hapa hatupimi kipawa, tunapima namna alivyoweza kukua kwenye kipawa na kugusa watu wengi nchini.