Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Ukishaingiza mitindo ya dunia kanisani,nini tofauti ya kanisa na club.
Mungu uimbiwa kwa utakatifu na heshima na sio kwa vituko na mizaha kwa densi zisizo na heshima.
Mzaha na vituko havifai katika kufanya ibada lakini mitindo ya uimbaji ya aina mbalimbali sio tatizo ikiwa kuna staha. Mitindo mara nyingi ni suala la utamaduni wa mahali husika na nyakati.

Miaka kama 300 iliyopita kaptula lilikuwa ndio vazi la heshima. Hata miaka 80 iliyopita lilikuwa ni vazi katika majeshi mengi tu. Leo hii mtumishi akivaa kaptula madhabahuni ataonekana ni muhuni. Hivyo basi mitindo ya nje ikiwa na staha inatakiwa tuikubali.
 
Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,

Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..

Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye [emoji5][emoji5], nyimbo za sifa ni mwisho
Sure...
Rose atabaki kuwa Rose tu...

Ile Energy aliyonayo ni another level Aiseee....

Hata kumlinganisha na hawa wengine ni kumkosea sana....
 
Dada yetu akisimama tena katika imani na kurejesha ushuhuda lazima ataingia kwenye list. Tuendelee kumuombea.[emoji120]
Aliyoyapitia hayatupi sisi uhalali wa kum'judge..

Kila mtu ana mapito yake...tunaanguka ila Neema ya Mungu inatunyanyua tena....

Kwanza umeshausikiliza au kuuona wimbo wake wa 'Simba'? She is back like nothing happened.
 
Sure...
Rose atabaki kuwa Rose tu...

Ile Energy aliyonayo ni another level Aiseee....

Hata kumlinganisha na hawa wengine ni kumkosea sana....
Rose akisimama tena lazima awepo top kabisa. Kuimba nyimbo bila ushuhuda hakuna positive impact. Tuendelee kumuombea.🙏
 
Aliyoyapitia hayatupi sisi uhalali wa kum'judge..

Kila mtu ana mapito yake...tunaanguka ila Neema ya Mungu inatunyanyua tena....

Kwanza umeshausikiliza au kuuona wimbo wake wa 'Simba'? She is back like nothing happened.
Hapa wala hatumhukumu yeye binafsi maana kila mtu anaweza kuwa na eneo fulani analokuwa na udhaifu.

Hapa tunaipima kazi ya mtu na namna inavyochangia katika imani kwa kuangalia vigezo pale juu.

Ninaamini wakati huu atasimama na atamaliza mwendo salama.
 
Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidia
kipindi kwaya zipo juu huyu na Munishi walikuwa solo wakieneza injili haswa
hawa ni wainjilisti waliokuwa wanaimba haswa
hao iliowataja wote ni kizazi cha kusapotiana instagram
Kiongozi mimi mpka nimempa list ya nyimbo zake zaidi ya 12 huko juu badoo anakwambiaa akufika level ya kitaifa...[emoji2][emoji2]

Jangalason huyu huyu aliyeimba usimuige mbuzi asijulikane kitaifa, jangalason huyu huyu aliyeimba Jikongoje....

Mtoa mada ingia youtube andika Jangalason andika msaliti wa ndoa au usimuige mbuzi sikiliza ilo pini alafu urudi hapa.....

Nakuhikikishiaa Kuna watu kibao wako kwenye list huku vijijini hatuwajuhi ilaa Jangalason tunamjuaaa....

Huyu alikuwa mwinjilisti na hata nyimbo zake ni za uinjilist zaidi yeye koleo ni koleo na wala sio kijiko kikubwa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema maoni yako binafs hao kina lwanga sio waimbaji wa nyimbo za dini
 
Kiongozi mimi mpka nimempa list ya nyimbo zake zaidi ya 12 huko juu badoo anakwambiaa akufika level ya kitaifa...[emoji2][emoji2]

Jangalason huyu huyu aliyeimba usimuige mbuzi asijulikane kitaifa, jangalason huyu huyu aliyeimba Jikongoje....

Mtoa mada ingia youtube andika Jangalason andika msaliti wa ndoa au usimuige mbuzi sikiliza ilo pini alafu urudi hapa.....

Nakuhikikishiaa Kuna watu kibao wako kwenye list huku vijijini hatuwajuhi ilaa Jangalason tunamjuaaa....

Huyu alikuwa mwinjilisti na hata nyimbo zake ni za uinjilist zaidi yeye koleo ni koleo na wala sio kijiko kikubwa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu mnamtaja lakini nyimbo zake hata hazijulikani. Mwimbaji wa kuingia top ten ya kitaifa lazima awe na nyimbo ambazo jamii ya wakristo wa madhehebu mbalimbali wanazifahamu.

Nitajie wimbo wake mmoja ambao unafahamika angalau kila mkoa wa Tanzania.
 
Angeweza kudumu kwenye ile level basi hakuna ambaye angezuia yeye kuwa namba moja. Tunamuombea arudi tena.
Hakuna anayekuwa namba moja miaka yote.

Legacy ya Rose Mhando Afrika Mashariki na kati inajulikana.

Labda umshindanishe na kwaya, ila mtu mmoja mmoja utakuwa unawaonea tu.

Rose Mhando ndiye msanii pekee ambaye nyimbo zake ziliwafunika hata Bongo Fleva kwenye mauzo ya caller tunes, enzi hizo Diamond na nyimbo yake ya mbagala anapigwa chini kimauzo na nyimbo ya 'utamu wa yesu' .
 
Vigezo vilivyotumika:

1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.

Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.

Twende pamoja sasa:

1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona

Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:

Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe

Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo
Bahati anazidiwa na Martha? Sio kweli
 
Back
Top Bottom