Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzaha na vituko havifai katika kufanya ibada lakini mitindo ya uimbaji ya aina mbalimbali sio tatizo ikiwa kuna staha. Mitindo mara nyingi ni suala la utamaduni wa mahali husika na nyakati.Ukishaingiza mitindo ya dunia kanisani,nini tofauti ya kanisa na club.
Mungu uimbiwa kwa utakatifu na heshima na sio kwa vituko na mizaha kwa densi zisizo na heshima.
Vigezo vinambana huyu.Rose Muhando ni namba moja
Sure...Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,
Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..
Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye [emoji5][emoji5], nyimbo za sifa ni mwisho
Aliyoyapitia hayatupi sisi uhalali wa kum'judge..Dada yetu akisimama tena katika imani na kurejesha ushuhuda lazima ataingia kwenye list. Tuendelee kumuombea.[emoji120]
Rose akisimama tena lazima awepo top kabisa. Kuimba nyimbo bila ushuhuda hakuna positive impact. Tuendelee kumuombea.🙏Sure...
Rose atabaki kuwa Rose tu...
Ile Energy aliyonayo ni another level Aiseee....
Hata kumlinganisha na hawa wengine ni kumkosea sana....
Hapa wala hatumhukumu yeye binafsi maana kila mtu anaweza kuwa na eneo fulani analokuwa na udhaifu.Aliyoyapitia hayatupi sisi uhalali wa kum'judge..
Kila mtu ana mapito yake...tunaanguka ila Neema ya Mungu inatunyanyua tena....
Kwanza umeshausikiliza au kuuona wimbo wake wa 'Simba'? She is back like nothing happened.
"Mtu asiye na dhambi miongoni mwetu na awe wa kwanza kumpiga mawe."Huyu malaya na mvuta bangi?
Mna vichaa
Kiongozi mimi mpka nimempa list ya nyimbo zake zaidi ya 12 huko juu badoo anakwambiaa akufika level ya kitaifa...[emoji2][emoji2]Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidia
kipindi kwaya zipo juu huyu na Munishi walikuwa solo wakieneza injili haswa
hawa ni wainjilisti waliokuwa wanaimba haswa
hao iliowataja wote ni kizazi cha kusapotiana instagram
Albam ya Jipange sawasawa kuna ule wimbo Amina hatari....Mtoa mada wewe ni nan mpaka uanze kuwahesabia watu dhambi kwamba unasema Rose mhando sio mcha MunguAlbum moja tu ya Rose Mhando ya 'Uwe Macho ' ni sawa na kazi zote za hao uliowataja hapo juu.
Mkuu kwanini unasema hivyo?Ungesema maoni yako binafs hao kina lwanga sio waimbaji wa nyimbo za dini
Huyu mtu mnamtaja lakini nyimbo zake hata hazijulikani. Mwimbaji wa kuingia top ten ya kitaifa lazima awe na nyimbo ambazo jamii ya wakristo wa madhehebu mbalimbali wanazifahamu.Kiongozi mimi mpka nimempa list ya nyimbo zake zaidi ya 12 huko juu badoo anakwambiaa akufika level ya kitaifa...[emoji2][emoji2]
Jangalason huyu huyu aliyeimba usimuige mbuzi asijulikane kitaifa, jangalason huyu huyu aliyeimba Jikongoje....
Mtoa mada ingia youtube andika Jangalason andika msaliti wa ndoa au usimuige mbuzi sikiliza ilo pini alafu urudi hapa.....
Nakuhikikishiaa Kuna watu kibao wako kwenye list huku vijijini hatuwajuhi ilaa Jangalason tunamjuaaa....
Huyu alikuwa mwinjilisti na hata nyimbo zake ni za uinjilist zaidi yeye koleo ni koleo na wala sio kijiko kikubwa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayekuwa namba moja miaka yote.Angeweza kudumu kwenye ile level basi hakuna ambaye angezuia yeye kuwa namba moja. Tunamuombea arudi tena.
Huyo huyo.Huyu malaya na mvuta bangi?
Mna vichaa
Wewe jamaa unajiona mtakatifu sana.Madawa ya kulevya, roadmap my f**
Haujistulkii kila mtu anamtaja Rose.Vigezo vinambana huyu.
Bahati anazidiwa na Martha? Sio kweliVigezo vilivyotumika:
1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu
2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo
3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika
4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi.
Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama ilivyotumiwa kwa ustadi.
Twende pamoja sasa:
1. Abihudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Christina Shusho
4. Ambwene Mwasongwe
5. John Lisu
6. Paul Clement
7. Joel Lwaga
8. Upendo Nkone
9. Martha Mwaipaja
10. Ipyana Kibona
Ambao hawakuingia lakini ni wazuri pia hawa hapa:
Christopher Mwahangila, Ephraim Mwansasu, Beatrice Mwaipaja, Walter Chilambo, Paul Mwangosi, Boaz Danken, Safari Paul, Upendo Kilahiro, Jennifer Mgendi, Edson Mwasabwite, Gwamaka Mwakalinga, Beatrice Muhone, Faustin Munishi, Rehema Simfukwe
Kuna wale maarufu sana ambao hawakuingia kwa kushindwa kukidhi baadhi ya vigezo hapo juu kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Goodluck Gozbert, Angel Benard, Flora Mbasha, Neema Mwaipopo