Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #81
Alianza vizuri sana kwa sauti ya dhahabu lakini siku hizi sijui anaimba vitu gani. Neema ya Mungu imsaidie arudi kwenye zile zama.😁😁😁 bahati kwenye reggae ni mwisho, nahisi wanaokula mjani wanaweza, kusikiliza gospel ikaingia vizuri kwa vionjo vyake na ile sauti nzito halafu kavu