Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

😁😁😁 bahati kwenye reggae ni mwisho, nahisi wanaokula mjani wanaweza, kusikiliza gospel ikaingia vizuri kwa vionjo vyake na ile sauti nzito halafu kavu
Alianza vizuri sana kwa sauti ya dhahabu lakini siku hizi sijui anaimba vitu gani. Neema ya Mungu imsaidie arudi kwenye zile zama.
 
Munishi aliimba zama zake zama zile za kwaya ya uliyankulu barabara ya 13.
Hakika hawa wakimbizi waliimba ujumbe wa neno la Mungu na sio hawa watumishi wa shetani wakata viuno na dance za kipepo ngono makanisani.

"Katika viumbe vyote vilivyoumbwa........"

Mkuu lugha kali sana.🤣 Neno la Mungu halibadiliki lakini namna ya kulifikisha kwa mataifa yote inabadilika.

Mimi ninaamini kwenye vionjo tofauti tofauti ikiwa misingi ya neno la Mungu haijavunjwa.
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Na Itabaki kuwa hivyo...Vizazi hata Vizazi..
Dada yetu akisimama tena katika imani na kurejesha ushuhuda lazima ataingia kwenye list. Tuendelee kumuombea.🙏
 
Alianza vizuri sana kwa sauti ya dhahabu lakini siku hizi sijui anaimba vitu gani. Neema ya Mungu imsaidie arudi kwenye zile zama.
True, Christina ana sauti nzuri sana sanaaa na hata akiwa live ipo hivyo hivyo ila sema siku hizi kama kawa commercial zaidi kuendana na kizazi cha angel benard.. Nimemmiss pia yule wa zamani
 
Yule dada kwakweli ni muimbaji mwenye karama kubwa na hata kazi zake zilikuwa bora.

Miaka inayokuja akiweza kurudi kwenye imani na kisimama thabiti itakuwa ushuhuda mkubwa na hakika ataingia kwenye hall of fame.
Bila shaka 🙏🙏
 
True, Christina ana sauti nzuri sana sanaaa na hata akiwa live ipo hivyo hivyo ila sema siku hizi kama kawa commercial zaidi kuendana na kizazi cha angel benard.. Nimemmiss pia yule wa zamani
Kweli kabisa, waimbaji wanatakiwa kupata somo kutoka kwa mwalimu Mwakasege inapokuja suala la kutunza kile kitu Mungu ameweka ndani.

Mwalimu Mwakasege amebaki yule yule wa mwanzo ingawa mara nyingi amebadilisha namna ya kufikisha ujumbe wake.
 
Mwansasu yupo kwenye list ya pili pale maana namfahamu sana.. ila huyo Jangalason hajafikia level ya kitaifa.

Kumbuka hapa hatupimi kipawa, tunapima namna alivyoweza kukua kwenye kipawa na kugusa watu wengi nchini.
Dah we kweli mtu wa ajabu
jangalason alipenya kipindi cha mikanda ya kaseti sio zama za instagram za unamjua nani
 
Sasa hivi yupo wapi huyo Jangalason?
Kwanza ulikuwa humjui hata nikikwambia alipo haitakusaidia
kipindi kwaya zipo juu huyu na Munishi walikuwa solo wakieneza injili haswa
hawa ni wainjilisti waliokuwa wanaimba haswa
hao iliowataja wote ni kizazi cha kusapotiana instagram
 
Munishi tunajua alipo, huyo yupo wapi? Mtu kama Fanuel Sedekia alifariki zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hakuna mtu anayepinga kuwepo kwenye top ten.. sasa huyo Jangalason yupo wapi?
 
Munishi tunajua alipo, huyo yupo wapi? Mtu kama Fanuel Sedekia alifariki zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hakuna mtu anayepinga kuwepo kwenye top ten.. sasa huyo Jangalason yupo wapi?
haya sijui
 
Unamjua Rehema Simfukwe?
Martha Mwaipaja ana tofauti gani na Bahati Bukuku? Tena kwa vigezo ulivyoweka, Bahati Bukuku yupo mbele ya Martha Mwaipaja. Boaz Danken pia yupo mbele ya Joel Lwaga!
Boaz, Mwangosi walitakiwa kuonekana kwenye top ten.

Joel alikuwa wa sitabaki kama nilivyo. Hizi anazozitoa hivi sasa ni kama anajikamua sana.
 
Album moja tu ya Rose Mhando ya 'Uwe Macho ' ni sawa na kazi zote za hao uliowataja hapo juu.
Angeweza kudumu kwenye ile level basi hakuna ambaye angezuia yeye kuwa namba moja. Tunamuombea arudi tena.
 
Boaz, Mwangosi walitakiwa kuonekana kwenye top ten.

Joel alikuwa wa sitabaki kama nilivyo. Hizi anazozitoa hivi sasa ni kama anajikamua sana.
Boaz atakuja kuingia kwenye top ten siku za usoni. Mwangosi anatembea na wingu la mwalimu, hajasimama sana yeye mwenyewe.
 
Mkuu lugha kali sana.🤣 Neno la Mungu halibadiliki lakini namna ya kulifikisha kwa mataifa yote inabadilika.

Mimi ninaamini kwenye vionjo tofauti tofauti ikiwa misingi ya neno la Mungu haijavunjwa.
Ukishaingiza mitindo ya dunia kanisani,nini tofauti ya kanisa na club.
Mungu uimbiwa kwa utakatifu na heshima na sio kwa vituko na mizaha kwa densi zisizo na heshima.
 
Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,

Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..

Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye [emoji5][emoji5], nyimbo za sifa ni mwisho
Madawa ya kulevya, roadmap my f**
 
Back
Top Bottom