Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Uuuuuuu!
Uu uuuuuuu!
Umeweka wimbo kinywani mwanguu,Bwana niimbe sifa zakoo!
Umeniumba Ili nikuabudu,nakuabuduu,nakuabuduuu.........

Wewe uketie juu ya vyote,sifa hizi zifike kitini pako,wimbo huu ukawe manukatooo.....we miss you Sedekia[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
katika ibada ni albamu bora zaidi ya gospel music kuwahi kutokea..
 
😅😅 nampenda yule mama anaimba vizuri, anaimba reality ya maisha, kama neno la mungu halina reality amna neno na huo alio nao ni ubunifu.
Neno la Mungu halibadiliki, linadumu milele. Waimbaji wengi maarufu wanaacha misingi na kuimba kufurahisha watu..
 
Kuna msabato atakayeweza kuwakubali waimbaji kama hao kwenye kumi bora?🤣 Labda watajaribu kwa Abiudi, Sedekia na Ambwene ila huko kwingine wataleta maneno mengi.🤣🤣
😁😁😁 siku hizi wamechange wako kwa fashion zaidi, hawataki kupitwa na vizuri
 
😁😁😁 siku hizi wamechange wako kwa fashion zaidi, hawataki kupitwa na vizuri
Labda wamechange wakiwa mtaani lakini kwenye kusanyiko sheria bado ni kali.. halafu hapo watasema wote hawafai kwasababu hawashiki sabato.😂
 
Sijawahi kumsikia.. ajitahidi sasa na neema ya Mungu imsaidie afikie viwango vya kitaifa.
Braza ww ni mfatiliaji wa nyimbo za injili wa miaka ganii humjui Jangalasoni.....

Umewahii kusikiliza hizi nyimbo hizi chini...

1. Wachungaji tuelezeni ukweli
2. Usimuige mbuzi
3. Undugu siku ya msiba
4. Usaliti wa ndoa
5. Okoka kiukweli
6. Jikongoje
7. Taifa Teule
8. Malaya wameoza
9. Mbiguni sio Mochwari
10. Amezaliwa Yesu
11. Wokovu ni Safari
12. Dungwa Sindano
13. Vaa viatu

Huyu mwamba anaimba Gospal Katuni ujumbe unafikaa hakuna kupamba pamba watu...

Usimuige Mbuzi ndo Kiboko, huyu ni veterani wa Gospal enzi za kijitonyama kwaya, Kwa viumbe vyote, lulu, Sauti Ikatoka

Kuna yule Mchungaji kwa sasa marehem Ephrahim Mwansasu aliimba nyimbo kama Kutesa kwa Zamu, Nikimaliza kazi, Kifo na nyingine Nyingii....

Inashangaza kusema huwajuii....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo list yako ni feki kabisa aisee kwa vigezo ulivyoweka
 
Back
Top Bottom