Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

Braza ww ni mfatiliaji wa nyimbo za injili wa miaka ganii humjui Jangalasoni.....

Umewahii kusikiliza hizi nyimbo hizi chini...

1. Wachungaji tuelezeni ukweli
2. Usimuige mbuzi
3. Undugu siku ya msiba
4. Usaliti wa ndoa
5. Okoka kiukweli
6. Jikongoje
7. Taifa Teule
8. Malaya wameoza
9. Mbiguni sio Mochwari
10. Amezaliwa Yesu
11. Wokovu ni Safari
12. Dungwa Sindano
13. Vaa viatu

Huyu mwamba anaimba Gospal Katuni ujumbe unafikaa hakuna kupamba pamba watu...

Usimuige Mbuzi ndo Kiboko, huyu ni veterani wa Gospal enzi za kijitonyama kwaya, Kwa viumbe vyote, lulu, Sauti Ikatoka

Kuna yule Mchungaji kwa sasa marehem Ephrahim Mwansasu aliimba nyimbo kama Kutesa kwa Zamu, Nikimaliza kazi, Kifo na nyingine Nyingii....

Inashangaza kusema huwajuii....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwansasu yupo kwenye list ya pili pale maana namfahamu sana.. ila huyo Jangalason hajafikia level ya kitaifa.

Kumbuka hapa hatupimi kipawa, tunapima namna alivyoweza kukua kwenye kipawa na kugusa watu wengi nchini.
 
Kati ya wote namba moja ni Munishi wengine matapeli tu
Munishi aliimba zama zake zama zile za kwaya ya uliyankulu barabara ya 13.
Hakika hawa wakimbizi waliimba ujumbe wa neno la Mungu na sio hawa watumishi wa shetani wakata viuno na dance za kipepo ngono makanisani.

"Katika viumbe vyote vilivyoumbwa........"
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mwansasu yupo kwenye list ya pili pale maana namfahamu sana.. ila huyo Jangalason hajafikia level ya kitaifa.

Kumbuka hapa hatupimi kipawa, tunapima namna alivyoweza kukua kwenye kipawa na kugusa watu wengi nchini.
Jangalason hakufikaa level za Kitaifa mkuu......Wewe uenda ukuwa Tanzania au ni janki wa 2000s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajaji mboni wamekua wengi weee? kwani vipi nyie hapo mnabisha nini? list imekaa safi hio

Hongera mtoa mada kwa list nzuri ila fanya Sedekia umpandishe namba 1 hapo Abiud akae namba 2
 
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kofi! Hivi Ambwene unamfuatilia vizuri? Kwanini umuweke nafasi ya mbali? Vipi kuhusu Mercy Masika? Mbona hujamtaja kwenye makundi yako yote matatu! [emoji35]

Ushaniharibia siku
Mercy masika ni mkenya sio mtanzania
 
The legend and Malkia of the Gospel music Tanzania Hakuna Mwingine zaid ya Rose Mhando

Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,

Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..

Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye ☺☺, nyimbo za sifa ni mwisho
 
The legend and Malkia of the Gospel music Tanzania Hakuna Mwingine zaid ya Rose Mhando
Hakuna anayepinga uwezo na karama ila vigezo vilivyotumika havimpatii fursa.
 
Maajaji mboni wamekua wengi weee? kwani vipi nyie hapo mnabisha nini? list imekaa safi hio

Hongera mtoa mada kwa list nzuri ila fanya Sedekia umpandishe namba 1 hapo Abiud akae namba 2
Asante sana mkuu.🙏
 
Christina shusho labda wa siku hizi ila album yake ya UNIKUMBUKE ni moja ya album ambayo huwa siichoki kuisikiliza

UNIKUMBUKE, eeh bwana umenichunguza, wakuabudiwa, adamu, mtetezi

🔥🔥🔥
Huyu dada ni malkia wa muziki wa injili Tanzania kwa vigezo tajwa. Hiyo albamu ilikuwa moto kwelikweli.
 
Hiyo ndio roadmap ya waimbaji wa kizazi kipya kama solo gospel singers..
Huyo ndio aliiheshimisha gospel music ya bongo hadi nje ya nchi,

Kiufupi wengi wanamuona kavurugwa na mapito yake lakini haiwezi kuondoa mchango wake unaostahili Hall of fame..

Kwanza muimbaji gani anaweza kuimba kwa high pitch na kucheza kwa energy kama yeye ☺☺, nyimbo za sifa ni mwisho
Yule dada kwakweli ni muimbaji mwenye karama kubwa na hata kazi zake zilikuwa bora.

Miaka inayokuja akiweza kurudi kwenye imani na kisimama thabiti itakuwa ushuhuda mkubwa na hakika ataingia kwenye hall of fame.
 
Back
Top Bottom