Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

Huyo kenge anajua kusoma basi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Soma hivi vitabu kwanza upate maarifa ya swali ulilouliza,maana kuuliza sio ujinga bali kutaka kujua
 
Mliikataa elimu dunia sasa hivi mnatusumbua na kutokana na madhara ya ukaidi wenu.
Mwenyewe nilikuwa najua kuwa ni elimu dunia ila kiukweli kwa waislam maana yake siyo elimu dunia hii unayomaanisha.
Kwa waislamu, elimu dunia ni kusomea masuala ya dini ya kiislamu kwa undani zaidi yaani jinsi ya kufanya albadiri, kumuita jini na kumuagiza, dawa za kiganga na kutibu. Hiyo ndiyo elimu dunia
 
Unamfahamu huyu?

 
Hizi story ni za Sunday school
Mkuu hata biashara ya jangwa la Sahara huijui.
Duuuh sasa elimu ya utumwa na waafrika utaipata wapi?
Umeuliza kuhusu uislamu na utumwa na umejibiwa kwa historia za kweli.
Au wewe uliuliza ukrsto na utumwa mkuu?
 
Mkuu hata biashara ya jangwa la Sahara huijui.
Duuuh sasa elimu ya utumwa na waafrika utaipata wapi?
Umeuliza kuhusu uislamu na utumwa na umejibiwa kwa historia za kweli.
Au wewe uliuliza ukrsto na utumwa mkuu?
Naonesha walioshiriki biashara ya utumwa
 
SITAKI KUAMINI KUNA WAISLAMU WENYE MTAZAMO KAMA WAKO DUNIANI NA HAWAIJUI HISTORIA YA DUNIA HII KIMATUKIO.
NIMEKUPA VITABU HIVYO NA UVISOME VITAJIBU SWALI LAKO ULILOULIZA NA HAKUNA PICHA ZA CCN WALA BBC WALA ALJAZEERA AU TV ARAB_YA.
 
Kanisa la Mkunazini huko Zenj ndio kitovu cha mateso. Yalifanywa na nani?
Mkuu hapo zanzbar hao wamishonari walikuja mwaka gani na biashara ya utumwa zanzbar ilianza mwaka gani na waliokua wanaenda bara kuchukua na kuvamia na kununua watumwa walikua watu gani.
SITAKI KUAMINI NAONGEA NA MTOTO WA DARASA LA TATU ASIYEJUA ANACHOKIANDIKA.
 
Lakin ulisikia wakina sayid said, waliuza watumwa kutoka pwani ya africa mashariki ??? Au hadi hlo utakuwa hujackia?
Waliuza watumwa wakiwauzia wapi na waliwapeleka wapi mbona hutujawahi kusikia Mwarabu mweusi huko uarabuni Tumia akili kutafakari
 
Umesoma vitabu akina John watumishi wa kanisa?
Mkuu uliuliza swali kuhusu uislamu na utumwa nimekujibu sio kwa picha za CNN au BBC bali kiuweledi na kisomi na nikakupatia vitabu na historia kwa ufupi.
John katoka wapi sasa??
Au swali lako halikua uislamu na utumwa??
 
Vita ya dunia, ilikuwa ni zidi ya giant countries enzi hzo.... Ndio maana huwez sikia state maskin kama arabic countries enzi hzo , kama zilishiriki
Arabic countries zilikuwa Maskini 🤣🤣🤣 we itakuwa ulifeli aisew 🤣🤣🤣
Kipind hicho kuna expansion ya Islamic empire kina mansa musa Mtajiri zaidi ya suleymani
 
Muhammad mwenyewe alikuwa na Watumwa achilia mbali misikiti kuwa makazi ya Watumwa.

Tena kuna sehemu anabadilishana watumwa wawili Weusi kwa Mtumwa mmoja wa Kizungu.
Sasa kama uarabuni kulikusa na watumwa kwanini hatuna warabu weusi kama tulivyo na wamerekani weusi
 
Lakin ulisikia wakina sayid said, waliuza watumwa kutoka pwani ya africa mashariki ??? Au hadi hlo utakuwa hujackia?
Ebu soma hiki kitabu cha binti wa Seyyid Said na uone jinsi gani baba yake alikua bingwa wa kununua na kuuza watumwa wa kibantu kwenye himaya zake
 
Sasa kama watumwa wengi waliishiia uarabuni kwanini hujiulizi kwanini hakuna weusi wengi uarabuni Tumia akili kujua kuhusu uongo uliodangywa shuleni kukupandikiza chuki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…