Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwahiyo akifa Mkristo asiyehudhuria kanisani Wakristo hawamziki?Vyote kwa pamoja sijavitenganisha, hawakuziki utazikwa na wengine wasiokufahamu tu atokee Mchungaji asiekufahamu kajitolea kukuzika utazikwa ila yule ambae ulimgomea au ulimpinga na kuzikataa taratibu zake hatokuzika
Si ungesema tu akifa mpagani?
Mkristo gani ambaye haendi kanisani?
Wakristo tunawazika Hadi wapagani acha uzushi:
Au ulimaanisha kumsalia sala ya mwisho?
Ni baadhi ya madhehebu ndio hayafanyi hivyo kwakuwa makasisi wake hadi wapate ruhusa ya viongozi wa ngazi za Juu:
RC pia Huwa wanazika hata kama hujaenda kanisani muda mrefu:
Kuna mambo familia inaagizwa kuyafanya na katekista anakuja kufanya sala ya mwisho bila shida
Mimi ni Mkatoriki wa kurithi huna uwezo wa kunibishia