Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Binafsi nadhani mada za hivi hazina afya hata kidogo. Its promoting divisions badala ya kuleta muunganiko.
Kila imani iishi kwa tamaduni zake.
Binafsi nadhani mada za hivi hazina afya hata kidogo. Its promoting divisions badala ya kuleta muunganiko.
Kila imani iishi kwa tamaduni zake.
Wala sio kweli unless useme wazungu kwa wazungu wanapigania tender mfano Msumbiji mbona tayari vitalu vya gesi kapewa mzungu je kuna haja gani ya vita? Hata lindi na Mtwara ile gesi wameshapewa waingereza huko je kuna haja ya vita?Sehemu nyingine za Africa wanapiganishwa kwa sababu za kiuchumi
Wakishaona mahala kuna fursa ya kueleweka (Madini, petrol, gas) mnapiganishwa hadi hao wakoloni waje kujifanya kuwapatanisha na kujichukulia raslimali zenu kizembe....
Mfano: Congo, sUDANI kUSINI, north Mozambique, nk nk nk
Mimi ni Muislam mkuu ila kuna maeneo ametugusa, ingawa ukweli unauma.Binafsi nadhani mada za hivi hazina afya hata kidogo. Its promoting divisions badala ya kuleta muunganiko.
Kila imani iishi kwa tamaduni zake.
Kuna mmoja nilitolea mfano wa Makundi ya kihalifu yanavyofanya huko nchi za amerika ya kusini. Huko kungekua na majority Muslim huyu angesema sababu ni kuuchafua uislamWala sio kweli unless useme wazungu kwa wazungu wanapigania tender mfano Msumbiji mbona tayari vitalu vya gesi kapewa mzungu je kuna haja gani ya vita? Hata lindi na Mtwara ile gesi wameshapewa waingereza huko je kuna haja ya vita?
Hata DRC migodi karibu yote inamilikiwa na wazungu. So tuache visingizio na tutibu changamoto zetu. Kwani hapo DRC kungekua na maendeleo nani angeenda msituni au nani angekubali kununuliwa?
Hao waliopo serikalini ndio wananunuliwa na mabeberu ili watoe madini kwa mikataba mibovu cha ajabu wananchi wakipinga ndio mnadai eti mababeru wamewalipa?? Upo serious kweli?
Yaani mimi mwenyewe nimecheka sana!!! Kama akili zenyewe ndiyo hizo!!! kazi tunayo!!!!Bwahaaaa bwahaaa nimecheka kwa nguvu vibaya sana😂😂. Sasa nimegundua kwanini serekali inawatumia waisilamu kama madekio, maana kama ww ndio think tank wao, huoni kwa sentesi hii huko kumejaa mazombie?
Hoja hii izingatiweKikubwa sote sisi ni watanganyika, tuache matabaka ya udini, lengo letu moja ni kupambania kuirejesha Tanganyika mpya isiyokuwa na utekaji,yenye uhuru wa vyombo vya habari, uchaguzi huru na wa haki, isiyokuwa na ufisadi, viongozi waadilifu na Tanganyika yenye kutengeneza mfumo wa maisha bora kwa watanganyika wote, hizi propaganda za udini,zinaturudisha nyuma kwenye lengo letu kuu, sisi kama gen z tunasema hapana
Hapa umesema kweli, ila ungeongeza kwenye ukristu usipoendana nao siku ukifa wanagoma kukuzika na wala hawajisumbui na maiti yako, hicho ndicho wengi wanachoogopa ndio maana wanafanya yote maana last word ni hio unakataa siku ukifa hatuji kukuzika na hatutoisogelea maiti yako, kwa hio mtu anaishi na hofu ya kutokuzikwa, waislamu hawaambiani hivyo hata km wanaitilafiana hawaambiani kwamba ohh siku ukifa hatukuziki na hata zile swala swala za asubuhi zinazowaamsha watu kwamba kitanda chako ndio kaburi lako amka muislamu uje tuswali, wapo waislamu wanaishi nyumba hii mskiti huu hapa pamoja na kuambiwa hivyo msikitini hawaenda na hawaambiani kwambi siku ukifa hatukuziki sababu hauji msikitini hata siku moja, mtu akijisikia kwenda ataenda asipojisikia haendi ndio maana kuna wakati msikiti unajaa kuna wakati wanaswali watu hawazidi watano na wanaswali vizuri tu bila shida sio km kabisani watu wanapitiana kwenda kanisani mafungu kwa mafungu maana wanaogopa wakifa hawatozikwa watagomewa kuzikwa ili wajizike wenyewe hio kwa waislamu haipo uwe unaenda msikitini uwe huendi mradi wewe ni muislamu siku ukifa waislamu wanakuzika hawakususi hata kidogo na kusema huyu hakua anashiriki ibada basi sio mwislamu hatumziki sisiSheikhe au mtoa mawaza anazungumza kama anabembeleza waumini.
Hapa kuna walakini kidogo, ingawa kuifafanua hii point kunaweza kuleta sintofahamu ila kuna namna haujaiweka katika namna sahihi, sio kweli kwamba wapo upande wa waumini, wao wapo upande wao na wanataka waumini nao wote wakae upande wao waumini wakiwa kinyume na wao basi wanachofanya sio kingine wanawatimua, nishashuhudia kuna mzee alikua amejiunga jumuiya ikatokea kila ikififka zamu ya nyumbani kwake likiletwa kauntabuku la michango mzee ana madeni kibao ya michango ya kanisa hajalipa yaan usipolipa kwa wakati linakua deni na kadri unavyolimbikiza deni linapaa juu sana na mbaya zaidi unatakiwa ulipe na hio sio hiari ni lazima ulipe hutaki jichomoe usijihusishe na masuala ya kanisa, mzee siku hio na mimi nilikuwepo alieleza akasema kwa kweli kwa hii hali sitoweza kuendelea na jumuiya naombeni mnifute na kanisani kwenyewe mnifute pia wakamwambia si unajua madhara ya unachokifanya ukifa hatuji kukuzika mzee akasema poteleapote hata msiponizika itanizika Manispaa, wakamwambia basi tutafikisha maelezo yako parokiani ili ufutwe kabisa na ukifutwa unafutwa kabisa yaan unatengwa na Jamii unaonekana mtu mbaya rafiki wa Shetani umemkataa YesuViongozi wa Dini ya Kikristo Siku zote wapo Upande wa Waumini wao.
Kile waumini wanataka ndicho Viongozi wa dini watakisema full stop.
Acha Uwongo weweHapa umesema kweli, ila ungeongeza kwenye ukristu usipoendana nao siku ukifa wanagoma kukuzika na wala hawajisumbui na maiti yako, hicho ndicho wengi wanachoogopa ndio maana wanafanya yote maana last word ni hio unakataa siku ukifa hatuji kukuzika na hatutoisogelea maiti yako, kwa hio mtu anaishi na hofu ya kutokuzikwa, waislamu hawaambiani hivyo hata km wanaitilafiana hawaambiani kwamba ohh siku ukifa hatukuziki na hata zile swala swala za asubuhi zinazowaamsha watu kwamba kitanda chako ndio kaburi lako amka muislamu uje tuswali, wapo waislamu wanaishi nyumba hii mskiti huu hapa pamoja na kuambiwa hivyo msikitini hawaenda na hawaambiani kwambi siku ukifa hatukuziki sababu hauji msikitini hata siku moja, mtu akijisikia kwenda ataenda asipojisikia haendi ndio maana kuna wakati msikiti unajaa kuna wakati wanaswali watu hawazidi watano na wanaswali vizuri tu bila shida sio km kabisani watu wanapitiana kwenda kanisani mafungu kwa mafungu maana wanaogopa wakifa hawatozikwa watagomewa kuzikwa ili wajizike wenyewe hio kwa waislamu haipo uwe unaenda msikitini uwe huendi mradi wewe ni muislamu siku ukifa waislamu wanakuzika hawakususi hata kidogo na kusema huyu hakua anashiriki ibada basi sio mwislamu hatumziki sisi
Wewe utakua Mgeni au umri wako mdogo, kuna moja kati ya hayo mawili, nitakukumbusha kuna sakata moja la yule manzi mmoja hivi Arusha aligomewa kuzikwa kwa sababu 2 moja hakua ameolewa ila alizini na kuzaa mtoto nje ya ndoa na ya pili ni kua na mtoto nje ya ndoa yaan mtoto haramu, wakagoma kumzika umewahi kuona? Hujawahi wahi YouTube muda huu kwenye search bar pale nenda kaandike itakuletea Video uone teknolojia haijawahi kufeli na hio ni moja tu, kuna mmoja alifariki morogoro akaandika akifariki azikwe somewhere Dar na alikua ametengwa hivi ushawahi kuona mtu anazikwa km mbuzi au mbwa aliekufa yaan kabebwa tu na watu wanne hawazidi watano na gari 1 kaburi lishachimbwa wakamfukia km kuku aliekufa kwa kideri wakaondoka, hivyo yaan hakuna cha Shekhe hakuna cha MchungajiNi Mkristo Gani ambaye Wakristo waligoma kumzika?
Wewe ***** unatafuta pa kutokeaHamjambo!
1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo.
2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi.
3. Unaweza kuingia msikitini Siku ya ijumaa na msikiti usijue hata jina lako.
4. Waislam Dini yao inategemea misaada zaidi ya watu binafsi kuliko wajibu wa mtu mmojammoja kuwajibika kuujenga uislam na maendeleo yake.
5. Bila kupoteza Muda nitaeleza mambo nyeti ambayo Wakristo wanawazidi kwa mbali ndugu zao Waislam;
a) Usimamizi wa Rasilimali watu.
Waislam hawana tools mbalimbali za kusimamia watu tofauti na madhehebu ya Wakristo.
I) Wakristo wanajua idadi kamili ya waumini wao na wanamfumo wa kuhesabu waumini wao Kila Mwaka.
Kila Kanisa, Kila jumuiya, Kila kanda inajua waumini wake. Programu mbalimbali kama Ubatizo, jumuiya, Kaya na familia, komunio ni moja ya mambo yanayotoa idadi ya watu katika ukristo.
ii) Kila jumapili au jumamosi lazima waliohudhuria wahesabiwe na wageni wajulikane.
Wapo mashemasi KAZI Yao ni kupanga watu, kuhesabu watu, kusimamia watu na kuhakikisha Ibada inaenda sawasawa.
Waislam hata uende Leo msikitini hakuna wa kukuuliza umetokea wapi, hawana huo mfumo.
ii) Kujua idadi ya watu ni muhimu katika usimamizi wa mission na malengo ya Kanisa.
b) Mifumo ya Kutoa zaka na Sadaka.
i) Wakristo wote Duniani iwe amesoma au hajasoma. Kutoa sadaka na zaka ni sehemu ya ibada.
ii) Huwezi kwenda kanisani bila sadaka au zaka hiyo tangu tukiwa watoto tunafundishwa.
iii) Watoto wa Kikristo wanafundishwa kutoa wakati waislam hawatilii mkazo kwenye utoaji.
iv) Kila kanisa Lina kanisa la watoto au Ibada ya watoto ambazo zinaendeshwa katika mfumo uleule wa wakubwa.
v) Nilishangaa kumsikia sheikhe mmoja akisema ati msikiti mzima waislam wote sadaka ni ngumu kufika Laki tatu. Hiyo kama sio aibu ni kitu gani.
Wakati laki tatu ukienda pale Kanisa la wasabato Mwenge au Magomeni au Manzese hiyo ni sadaka inayotolewa katika kanisa la watoto.
vi) utoaji ni utamaduni na tabia ambayo MTU anafundishwa tangu akiwa Mdogo. Wakristo kwa Hilo wamefanikiwa.
vii) waislam kama kutoa tuu sadaka elfu kumi au elfu hamsini anashindwa ataweza kumchangia sheikhe Anunue gari walau la million 50?
viii) Waislam wao wanachojua ni kuswali, kufunga Ramadhan, kusikiliza Kaswida, kusoma Quran. Hicho wanajua. Waambie watoe sadaka au zaka. Huo wajibu wengi wao hawautimizi. Na hawautilii maanani.
ix) Masheikhe na maimamu kibao huku mitaani wanadhalilika. Mnashindwa kuwatunza maishekhe wenu, maostadhi wenu, imamu wenu ambao wala sio gharama kubwa. Milioni mojamoja kwa mwezi Kila sheikhe nchi nzima. Mnashindwa. Mtaweza kuchangia mambo ya sijui ujenzi wa hospital, ujenzi WA shule, au mambo mengine?
x) Sio kwamba Waislam hawana pesa au vipi. Hapana ni utamaduni huo ndio hawana. Utoaji.
Kwani waislam wangapi ni waalimu huko serikalini, waislam wangapi ni madaktari, wanasheria, manesi, madereva, wafanyabiashara. Lakini waambie kutoa uone utakavyogombana nao.
c) Wakristo kupitia Zaka wanajua kipato na KAZI ya Kila muumini.
I) Yaani ukishakuwa mkristo ukaenda Kanisani lazima watu uongozi ujue kipato chako.
ii) Zaka ni lazima kwenye dini ya Ukristo. Yaani huwezi kumuabudu Mungu kama hutoi Zaka.
iii) Zaka ni kuonyesha Mungu amekubariki na shukrani hivyo unarudisha fungu la kumi la kipato chako kwa Mungu kupitia Kanisa unaloabudu.
iv) Waalimi, madaktari, manesi, madereva, na wafanyakazi wote kanisani wanajulikana na mishahara yao inajulikana.
v) Mwallimu anayelipwa Laki Saba fikiria anatoa Zaka elfu 70 Kila mwezi. Hiya ni nje ya sadaka na michango mingine.
vi) Kwa waislam hawana mfumo huo. Waislam mnaosoma hapa. Kuna wafanyakazi. Jiulize wewe unalipwa milioni Moja au unafanya biashara kwa mwezi unapata milioni moja je, Kila mwezi unatoa msikitini Laki Moka ya zaka?
vii) Kwa wakristo usipotoa Zaka uongozi utajua tuu. Kwani Kila kitu kinaenda kwa mfumo wa maandishi na ushahidi.
Utatembelewa na lazima uhojiwe.
Waislam wao hiyo hawana. Kwanza hata hawajigusi.
d) Ni wajibu na jukumu la muumini kuchangia miradi ya kanisa.
i) Sadaka zinazotolewa kanisani zina kazi nyingi.
ii) Kuna marekebisho ya kanisa.
iii) Kuna kazi ya utume na kueneza injili.
iv) Kuna kuanzisha na kuboresha miradi ya Kanisa.
v) mambo hayo yote waislam hawana.
Huwezi sikia msikitini waislam wanatoa sadaka ya kujenga mashule au hospitali za kiislam.
vi) Na waislam moja ya maeneo waliyodhaifu ni kwenye mawaidha ya utoaji sadaka na zaka. Ninafuatiliaga mafundisho Yao wakigusia utoaji sadaka na zaka. Wanatia huruma kweli. Sheikhe au mtoa mawaza anazungumza kama anabembeleza waumini.
Kwenye ukristo kutoa sio hiyari. Kutoa ni lazima. Na kuna namna mbalimbali za kushinikiza Jambo Hilo kama kutumia misiba, harusi na mambo kama hayo.
6. Kanisa linasapoti KAZI za Waumini.
I) Ukijua kupiga kinanda na kuimba utasapotiwa na kanisa.
ii) Ukiwa na project inayohusiana na dini utasapotiwa. Mfano uimbaji na muziki.
Lakini ni waimbaji wangapi wa kiislam wanaoimba Kaswida ambao Waislam wanashindwa kuwasapoti? Wangapi?
Huyo Mzee Yusuph ambaye aliamua kuacha nyimbo za kidunia akasema aimbe Qaswida aliishia wapi? Waislam Siku za maulidi, siku za idi siku za sikukuu zenu mnashindwa kuandaa matamasha ya kiislam mkaita waimbaji wa kiislam, waumini wa kiislam wakatoa kiingilio, wasanii wa kaswida wakapata, na misikiti ikapata. Hamtaki! Mnalalamika.
iii) Kanisa linasapoti wenye shule na hospitali.
Wasabato kuna wakati ambao sio Siku ya ibada labda sikukuu ya Makambi wenye shule au miradi wanapewa nafasi kuonyesha miradi yao. Na waumini wanasapoti, wazazi wanapeleka watoto shule za kanisa.
Ni lini ninyi waislam mliwahi kufanya hivyo? Ni waislam wangapi wanamiliki shule mkatumia misikiti yenu kuwasapoti hata kwa wao kuonyesha miradi Yao kama sehemu ya matangazo? Hamfanyi. Leo mnataka muwe Sawa na Wakristo? Kuweni serious
7. Viongozi wa Dini ya Kikristo Siku zote wapo Upande wa Waumini wao.
Kile waumini wanataka ndicho Viongozi wa dini watakisema full stop.
I) Nyie Waislam hamna umoja. Masheikhe wanataka heshima za burebure kisa kusoma Quran. Nani atakupa heshima hiyo?
ii) Kueni upande wa waumini wenu. Muone kama Waislam hawatakuwa upande wenu.
Iii) Unakuta viongozi wengi wa kiislam badala wawe upande wa Waumini wao wenyewe wanakuwa upande wa serikali. Alafu muda huohuo wanataka waumini wa kiislam watoe sadaka na zaka au wawasikilize. Hakuna binadamu mjinga atafanya hivyo.
iv) Wachungaji wengi wakiongea wanaangalia waumini wao wengi msimamo wao na matakwa yao ni yapi. Wanasimamia hapo. Bila kujali matokeo.
Wauumini nao wanajua chakufanya.
v) Wachungaji wengi wanaishi maisha mazuri na wanalipiwa bills karibu zote mpaka kusomesha watoto kwa sababu ya majukumu yao. Na wakristo hilo haliwaumizi.
Wakristo wanaumia pale wanatoa sadaka na zaka alafu mchungaji hatekelezi wajibu wake.
vi) Waislam lazima mbadilike.
Nasikia Masheikhe Kila Siku wanalalamika. Ooh! Ndugu waislam nyie hamsikilize viongozi wenu, sijui hamuwapi hela. Hivi kusoma tuu hiyo Quran unafikiri ndio sababu ya waumini kuwa upande wako au kukupa pesa?
8. Matamasha, programu na media zinazopromoti ukristo na kazi za wakristo.
i) kuna kina Goodluck Gozebeth, Joel Lwaga, Angel Bernad, Clement, Rose Muhando, Bahati Bukuku, Njiro SDA kwaya kishindo cha Wakoma, Zabron Singers Mkono wa Bwana, n.k.
Vijana wa Kikristo mfumo wao unawabeba. Wanatangaza kazi zao, wanapata pesa, Makanisa Yao wanawatumia wote wanapata pesa.
Jamii inaburudika. Vyombo vya habari vinatumika kutangaza kwa namna na mbinu zote.
Waislam hata upite mtaani sasa hivi unaweza ukaa mwezi mzima usisikie wimbo wa kiislam.
Sasa hivi ninauhakika ukimwita muislam akutajie waimba Qaswida watatu tuu anaowajua ili umpe laki Moja hawezi kutaja. Ila huyohuyo muislam mwambie ataje waimbaji wa kikristo atakutajia hata kumi na nyimbo zao ataimba.
ii) Waislam waliopo kwenye vyombo vya habari kama redio au luninga lini utasikia wameweka Qaswida nje ya Siku ya ijumaa?
Lakini njoo kwa Wakristo, Madj, waendesha vipindi redioni au luningani haiwezi pita Siku usisikie nyimbo ya Gospel hiyo haiwezekani.
iii) Wakristo wanauwezo na wanamifumo ya kutrendisha wachungaji na wanamuziki wa Injili na Kila mmoja anamuachia mwenzake nafasi.
Sasa hivi kuna wimbo wa Makombolelo. Chuma kinapaa watu wanapata pesa na ujumbe unafika.
Waislam hawana hiyo mifumo. Uislam umelimit baadhi ya maeneo na hiyo kuufanya ukose sapoti ya vijana na wakati wa sasa.
9. Sikukuu za kikristo zipo Kiroho na kibiashara.
i) watu wanaabudu Mungu na hapohapo wanapata pesa.
Waislam wanaabudu bure na wanatoka bure.
Dini ya kikristo sio Dini ya Bure. Inagharama ya kiroho na kimwili.
ii) Christmas ni sikukuu inayonifaisha jamii na taifa na dunia nzima. Waimbaji, watengeneza filamu, wachungaji, watangazaji, n.k. Wote wananufaika.
Lakini vipi sikukuu za waislam?
Nina mengi ya kuandika lakini ndugu zetu waislam mnamambo mengi ya kujifunza kuhusu Wakristo ili nanyi mfanikiwe.
Mnasema kwamba MOU inapendelea Wakristo, hicho ni kisingizio tuu. Huko Uarabuni kuna MOU? South Africa, Nigeria, na nchi zingine zinaMOU?
Hizo nchi za kiislam tuu kama sio kuweka vikwazo kwa Wakristo unafikiri Ukristo ungekuwaje nchi hizo?
Ndio maana Mission na Missionary.
Kufikia hapa sina la ziada.
Taikonmaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Hua wanagoma, wewe haujui wanaokubari ni wale wenye tuvikanisa twa pembezoni tuvikanisa sijui tuvihema twa pembeni pembeni ambao bado hawajajibrand ndio wanakubari na wanafanya hivyo ile onyo, katazo na fundisho kwa wengine kwamba ukienda kinyume yatakutokea km yaliyompata fulani, yaan wewe ndio unafanywa mfaanoKwani Marehemu akifanyiwa sala inamsaidia nini ?
Pumbavu wewe ng'weng'weAcha Uwongo wewe
Ni Mkristo Gani ambaye Wakristo waligoma kumzika?
Hebu nitajie mmoja tu uliyewahi kumshuhudia au kumsikia:
Wakristo wanawazika hadi wapagani na wadini nyingine bila shida yoyote ile:
Inatokea kuna baadhi ya madhehebu machache sana huwa hayaruhusi makasisi wake kumfanyia sala asiye wa dhehebu lao:
Mchungaji yoyote wa Kikristo anamfanyia sala Marehemu yoyote yule ilimradi akiombwa kufanya hivyo:
Hata akiombwa na ndugu wa Marehemu Muislamu anamfanyia sala bila shida yoyote:
Kwani Marehemu akifanyiwa sala inamsaidia nini ?
Unazungumzia kugoma kuzikwa na Wakristo auHua wanagoma, wewe haujui wanaokubari ni wale wenye tuvikanisa twa pembezoni tuvikanisa sijui tuvihema twa pembeni pembeni ambao bado hawajajibrand ndio wanakubari na wanafanya hivyo ile onyo, katazo na fundisho kwa wengine kwamba ukienda kinyume yatakutokea km yaliyompata fulani, yaan wewe ndio unafanywa mfaano
Vyote kwa pamoja sijavitenganisha, hawakuziki utazikwa na wengine wasiokufahamu tu atokee Mchungaji asiekufahamu kajitolea kukuzika utazikwa ila yule ambae ulimgomea au ulimpinga na kuzikataa taratibu zake na mafundisho yake hatokuzikaUnazungumzia kugoma kuzikwa na Wakristo au
Kugoma kuswaliwa Sala ya mwisho na makasisi wa Dini?
Wewe unapenda sana matusiPumbavu wewe ng'weng'we
View attachment 3545896UFAFANUZI KUHUSU KANISA KATOLIKI KUTOKUWAFANYIA MAZIKO YA KIKANISA BAADHI YA WAAMINI WAKE:
Jana mitandao ya kijamii nchini ilienea habari za kanisa kutokumzika tajiri mmoja kwa sababu alikufa katika hali ya "kinyumba" bila ndoa takatifu, na kwamba hakuwa mshiriki hai wa masuala ya kanisa.
Baada ya hapo kukatokea maneno mengi sana baadhi ya watu wakilishanbulia kanisa katoliki kwamba limekosea na linakosea kwa utaratibu huo, kwa maelezo mepesi kwamba suala la mtu kwenda mbinguni ni wajibu wa Mungu na siyo kazi ya kanisa kuhukumu (huenda wamesahau kwamba kanisa halijaihukumu roho ya...
- kisinja
- Replies: 150
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ingia YouTube kesi ni nyingi za kugomewa kuzikwa tatizo hamjifunzi, unaambiwa kabisa ukifa hatukuziki na sio kwamba wanatania sasa kufa uone km kuna mtu atakuja kukuzika hawaji hata mmoja umetengwa mpaka kifo na hawakuziki kweli sio kwamba wanataniaMimi nimemjibu mtu kuwa Wakristo hawajawahi kugoma kumzika Mkristo mwenzako:
Kama unaugomvi na RC nenda kamalizane nao: