Walioua ni waislam?THE BIG SHOW Malaria 2 FaizaFoxy mje mpitie kinachowahusu mfanyie kazi. Yaani hata kuotesha miti na maua kuzunguka misikiti ni tatizo. Dini iko so rigid, ingia guest utakuta biblia, lakini ukiweka quran guest, au muuza vitabu akipita kuuza quran bar inaweza kuchomwa. Sasa wanategemea kupata wapi waumini, na mapato?