Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

Inakuaje sasa Sulle bado anakubalika sana na jamii kubwa ya Waislamu? Au wengi wao ni low IQ??
Jamii kubwa ipi , data umetoa wapi ?

Waliwakomba watu enzi hizo za mihadhara hakuna internet mtu anachukua Moja kwa Moja kwa MaSheikh uchwara , sasa hivi tunahakiki wenyewe mitandaoni na tunaona Fatawa za MaSheikh wakubwa Saudia bila kipingamizi . Na vilevile watu wengi wameenda kusoma nje na kupata Elimu sahihi na kuelimisha wengine.

Gen Z hawawajui kabisa na kuwafuatilia wakina Mazinge , Dr Sulle , Mwaipopo nk , waliwaokota millennials enzi hizo ndio maana sasa power Yao imepungua kwa kiasi kibubwa
 
Upo sahihi Sana brother.

Nyie waislamu vijana na wasomi mnapaswa muokoe hili jahazi asee!

Hivi mfano wale jamaa waliokuwa wamepewa vipaza sauti kwenye press siku chache baada ya maandamano ya October wakijinasibu kuongea kwa niaba ya waislamu ukisikiliza tu yule ostaz aliyekuwa anaongea alivyo na jazba kwenye kuongea na maneno anayoongea unagundua hapa Kuna education barrier.

"Tutawakata vichwa"

"Kanisa tunazijua Mali zenu Huku mtaani. Tunazijua shule mnazomiliki, hospitals na taasisi zenu zingine...Nasemajee tutachoma moto nawaambia"

Na hawakuchukuliwa hatua.

Dini inaendelea kuzalisha maostaz wa aina hii Kila siku.

Vihiyo wanasimama madhabauni na kupewa kipaza kulisha watu neno la Mungu.

Siyo sawa.
 
Afande alikosa nini tena mpaka ananenewa maneno ya kiarabu??
 
Kiongozi wa waisilamu ni Nani? Yani ukute sheikh anaongea hujapenda halafu automatic umhusishe na uongozi wa waisilamu?

Mazinge ndio ana cheo gani kwa hao waisilamu?
 
وَإِذَا مَرُّواْ بِٱللَّغۡوِ مَرُّواْ كِرَامٗا
 
Kiongozi wa waisilamu ni Nani? Yani ukute sheikh anaongea hujapenda halafu automatic umhusishe na uongozi wa waisilamu?

Mazinge ndio ana cheo gani kwa hao waisilamu?
Mazinge ni shehe
 
Ila mkuu pamoja na kwamba hiki ni kituko ila dini zote za mbili zina vituko na story za ajabu ajabu sana mkuu.
Upo sahihi.

Ila Kuna tatizo la tofauti kwa waislamu.

Wakati kwa dini nyingine ambayo haujaitaja ikikosolewa kwa mapungufu yao...waislamu wao Kila anayetoa Boko anakataliwa na waislamu wenzie "Huyu siyo muislamu"

Yani mazinge au sullle kwa heshima waliyo nayo na kwa kusikilizwa wanakosikilizwa,siku akifanya kituko na waislamu wakakubali kuwa "hiki ni kituko" na kikaenda viral wakaanza kupata ukosoaji Kwa wasio waislamu...Hawa waumini wote wanageuka na kusema "uislamu haufundishi hivi,huyu siyo muislamu ila ni kafir"

Wanajisahau kuwa kama binadamu kukengeuka kupo na wakati mwingine haya mengine yanayokea kwa sababu ya lack of education. Uwezo wa Hawa viongozi ndipo ulipoishia kwa sababu ya ishu ya elimu.

Mfano Sulle analazimisha aonekane msomi sana na anajua mambo mengi ila ni mweupe na anaongea ujinga mara nyingi.
 
Ukiwa msomaji mzuri wa hivi vitabu vya dini ni rahisi sana kuwatambua matapeli ya dini.
 
Sijui kwanini, ila hata mimi binafsi uongozi wa dini siutaki, naingia msikitini natoka, nasoma na kuijua dini yangu baasi.. nilienda msikiti fulani nikaona wananisogeza sogeza kwenye uongozi ikawa kama wamenifukuza vile..

Katika hao masheikh uliowataja sijui kina sule, sijui sharif majini, mazinge hao ni wajanja wajanja tu, tofauti yao na mwamposa ni dini tu, mtu kama othman maalim hana makuu yupo kimya
 
Usijidanganye mkuu,
Hao masheikh bado wana ushwawishi sana mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…