Waislam mnasemaje kuhusu kuacha kushikana mikono baada ya swala Msikitini?

Waislam mnasemaje kuhusu kuacha kushikana mikono baada ya swala Msikitini?

Moja ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa hatari wa korona ni kuacha kushikana mikono. Waislam wana tabia ya kushikana mikono baada ya kumalizika kwa swala.

Je, inaswihi kuacha kushikana mikono baada ya swala ya jamaa?

Je, kushikana mikono baada ya swala ni agizo la dini au khiari tu ya muumini?

Mufti anasemaje kuhusu waislamu kupeana mikono?
Na wakristu hapana mikono kwa jirani yako wakati wa sala ndani ya kanisa.
 
Kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu huu magonjwa yapo kila siku, wala hakuna uhusiano kati ya kutowasaidia waafrika na ugonjwa wa corona. Mungu hakuwahi kuwapa wazungu jukumu la kuisimamia Afrika, Asia au Amerika. Tunachagua viongozi wabovu ambao hawawezi kutatua changamoto za watu, tunachagua wezi na wala rushwa na wengine wanaanzisha vita vyao huko kwa sababu za kumpigania Mungu bandia, yakitokea ya kutokea kila mmoja anataka akimbilie Ulaya na Amerika. Kibaya zaidi hata wakikaribishwa huko ndio huanza kutenda jinai za kila aina na ugaidi juu. Kama wazungu ndio suluhisho la matatizo yetu basi tuwaombe warudi ili watutawale tena, kinyume na hapo hakuna tukomae na matatizo yetu bila kukimbia nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uko na hoja pakini Kuna Jambo umelisahau kuhusu wazungu(wakoloni). Chanzo Cha shida zetu za Sasa zinatokana na wazungu kuendeleza ukoloni mamboleo.

Haiwezekani viongozi woooote wa Africa wawe wapuzi, bila shaka wanakumbuna na minyonyoro ya ukoloni mamboleo kila kona na kila hatua wanayotaka kupiga
 
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

Ukweli ni kuwa ukishika udhu au kunawa mara tano Kwa siku, unajilinda na maambukizi tele na msikitini hawaingii wala virusi vya popo na nguruwe

Uongo ni huu, kuna story Yesu alipigwa busu na yule aliemsaliti, hii story ukiileta Kwenye context ya sasa ya corona, yule aliembusu yesu angemuambukiza yesu corona so yesu angekufa Kwa corona na sio msalabani, hii inadhihirisha tukio la msalabani ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona nguruwe ni mtamu sana hivi hujawahi kuonja nakuapia hutoacha utataka kila weekend
 
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

Ukweli ni kuwa ukishika udhu au kunawa mara tano Kwa siku, unajilinda na maambukizi tele na msikitini hawaingii wala virusi vya popo na nguruwe

Uongo ni huu, kuna story Yesu alipigwa busu na yule aliemsaliti, hii story ukiileta Kwenye context ya sasa ya corona, yule aliembusu yesu angemuambukiza yesu corona so yesu angekufa Kwa corona na sio msalabani, hii inadhihirisha tukio la msalabani ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

**********
Vp kwa upande wa wanaume akhy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo ulipokunya
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

Ukweli ni kuwa ukishika udhu au kunawa mara tano Kwa siku, unajilinda na maambukizi tele na msikitini hawaingii wala virusi vya popo na nguruwe

Uongo ni huu, kuna story Yesu alipigwa busu na yule aliemsaliti, hii story ukiileta Kwenye context ya sasa ya corona, yule aliembusu yesu angemuambukiza yesu corona so yesu angekufa Kwa corona na sio msalabani, hii inadhihirisha tukio la msalabani ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya ugonjwa hatari wa korona ni kuacha kushikana mikono. Waislam wana tabia ya kushikana mikono baada ya kumalizika kwa swala.

Je, inaswihi kuacha kushikana mikono baada ya swala ya jamaa?

Je, kushikana mikono baada ya swala ni agizo la dini au khiari tu ya muumini?

Mufti anasemaje kuhusu waislamu kupeana mikono?

Kabla ya kuswali unatakiwa kuwa umepata udhu kwa kujisafisha, hivyo kama utatumia maji safi ya sabuni au hata sanitizer huna haja ya kohofu. Na ukitoka kuswali nawa tena. Ukiangalia mfumo wa dini ya kiislam uko tayari kwa kujikinga na magonjwa mengi sana, jifunze zaidi utaona.
 
Ni kweli tupu. Hata maiti inazikwa katika hali ya usafi. Bonya YouTube ujifunze jinsi ya kuosha maiti kwa imani tajwa
 
Maji au toilets paper

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20200317-095643~2.png

Hivi mbona mnaowaita (makafiri) ndio wanatengeneza chanjo, nyie ma abdool faida yenu ni nini hapa duniani ama kujilipua tu?
 
Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

Ukweli ni kuwa ukishika udhu au kunawa mara tano Kwa siku, unajilinda na maambukizi tele na msikitini hawaingii wala virusi vya popo na nguruwe
Mkuu naona Umeunganisha tuu, umefanya Connection.
Lakini ni Lazima ufahamu kwamba lengo la hijab/Nihab etc Lengo lake kuu ni Kijistiri, na Sio Corona kama ambavyo wewe unataka kuaminisha watu, Tena unaanza kulinganisha na Dini nyingine?

Je ni kweli kwamba Udhu intention yake ni kwenye Kujisafisha kujikinga na Corona au Kwa ajili ya Usafi wa kiibada? Je Corona isingekuja Haya unayoyasema ungeyasema Kama yalivyo?

Hijab,Nihab Ni mambo ya Kujistiri, na udhu ni kwa ajili ya Usafi wa kiibada na si Corona, Maana Corona imekuja imekuta Waislamu wana Utaratibu wao tayari.

Nadhani ni vizuri ungeconnect pasi na kuingiza au kufanya comparison.
 
Sijasema siwapi mkono sababu ya Corona, kutokupeana mikono ni utaratibu wangu nimejiwekea enzi na enzi,
Nimesema sababu ya huu mlipuko wa Corona basi hata Ijumaa siendi kuswali msikitini naswalia nyumbani,

*kama wewe ni mwanaume ndio sahau kabisaaa mimi kukupa mkono hata huo wa kwenye juba*
tatizo nini kumpa mkono mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio juha usiyeelewa chochote cha ulimwenguni mawazo yako yametawaliwa na dini tu hadi unaisahau afya yako, maradhi yameletwa na Allah yes Dini yenyewe inasemaje juu ya maradhi ya kuambukiza? Ulikua unaandika ukiwa usingizini?
Ati huo ni unafki wewe ndio mnafki namba moja niache kujilinda na magonjwa ya mlipuko nianze kufatilia ujinga wako,

Na kuhusu kupeana mikono yes ni utaratibu wangu nimejiwekea kama inakuuma pole kikubwa wewe endelea na utaratibu wako.
eti ijumaa unasalia nyumbani? hahaha hiyo itakuwa adhuhuri ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako unadhani hao watu wa Uighur wapo kwenye camps kwa sababu gani?
Tishio la watu wa Uighur ni kubwa sana kwa taifa kama lile la kikomunisti sasa nisitoe majibu mpaka pale utakapojibu swali langu.

Yani wewe kwa akili yako kabisa unawaza hilo jambo litendeke waache kufanya mambo ya ndani ya nchi zao kwa manufaa ya mtu wa Africa?
.
Mambo makubwa yaliyofanywa na US pamoja na EU including U.K kwa uchache hapa Africa
1. Kuhakikisha kila muafrica anapata elimu. Hili ni lengo la millenia na limeanza muda mrefu tu.
2. Kuhakikisha kila taifa linapatiwa pesa kwa ajili ya maendeleo tena zenye masharti nafuu.
3. Kuhakikisha kila taifa la afrika linajimudu kwa mambo mengi.

Sasa tumewaona wapumbavu tukamgeukia mchina anayetupa mikopo mikubwa mikubwa pasipo hata kuchukua muda, na kutupa kila tunachotaka na ili kututhibitishia kuwa yeye ana upendo nasi zaidi kuliko mabeberu anajenga viwanda kwenye ardhi za afrika hii inaitwa kalagabaho.
Sitaki kueleza mengi

Wakati Ebola iko Africa nani alipambana hadi imekwisha? Do you think was Arabs?

Unadhani wewe uko na kinga dhidi ya hiki kirusi unajidanganya here in Gartens kuna hofu kubwa sana na tuko watu weusi kibao tu.
Bado hakijaingia vizuri just continue on loving sh*t disease and you shall see what's gonna happen to y'all na vimiji vyenu kama madampo ya Alabama
Wazungu bhana hawana kitu cha bure sio kwa waafrika bala hata kwa wazungu wenyewe. Elimu wanayokupatia ni kwa faida yao kuweza kupata chip leba na vibaraka kwaajili ya kuendeleza ukoloni mambo leo, sio elimu ya kumfanya mwafrica aweze kuiendesha nchi, kutengezeza sindano, gari wala baiskeli.
 
Ingekuwa vyema sana kama ungejibu swali langu kisha nianze kushuka nondo zenye ushahidi.

"Kwa akili yako unadhani kwanini waislamu wa Uighur wako kwenue camps?

This is nonsense!
Umoja wa mataifa ndio ulimuondoa Gadafi (sio UN) ni nchi kadhaa ziliungana kumuondoa.

Yellow vest hawa wana historia pana sana na hawajaanza leo wala juzi wengi ni wakaazi wa mashambani hawapingi u-dictatorship wana mambo yao wanayoyataka.

Ofcourse Taliban ni magaidi pengine huijui tafsiri ya ugaidi waweza google.
Serikali ya Afghanistan imewaambia Taliban kaka wanataka kuongoza wananchi au kuingia bungeni basi waombe ridhaa kwa wananchi otherwise there's nothing they'll get.

U.S troops ziko Afghanistan kwa ajili ya kulinda amani lakini kumbuka wanatumia pesa nyingi sana kuwepo kwao huko hivyo ni lazima iwepo return.
Makubaliano yaliyoingiwa ndicho walichokiendea huko kuna mbinu mbalimbali za kuondoa ugaidi kama imeshindikana kuwaondoa kwenye kwa nguvu why isitumike njia ya amani?

Ushoga no one is supporting it kiuhalisia na tena Trump and Republicans wote wako against ushoga ila Obama plus all Dems wana support Ushoga ila haki za binadamu zinasemaje?

China anakupa mapesa mengi kisha anajimilikisha kabisa rasimali za nchi yako unabaki huna kitu, Tanzania haina gesi asilia hiyo Gesi mnayoiona ina wenyewe siku nyingi sana.

Corona is deadly and nakwambia itakuwa the deadliest Africa hamtaamini na mnaoishi DASLAM mmekwisha ka mji kama dampo
kwani kuna mtu analazimishwa awe shoda? mashoga wooote wana zaidi ya miaka 18 kuamua au kukataa. Malezi yetu ndiyo yanayolegalega. Watu wanaolawitiana walikuwepo tangu enzi hizo za Sodoma na Gomola (kitambo kwelikweli).

Turudi kwenye hoja ya msingi kuhusu Uislam wetu kama ulivyoandikwa kwenye Quran na mabadiliko ya mazingira, technologia, magonjwa na tabia yanayotokea.
 
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

**********
Vp kwa upande wa wanaume akhy?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakosea sana, kwahiyo unapendekeza hata wanaume wavae hijabu na nikab, au veepee?
 
Kabla ya kuswali unatakiwa kuwa umepata udhu kwa kujisafisha, hivyo kama utatumia maji safi ya sabuni au hata sanitizer huna haja ya kohofu. Na ukitoka kuswali nawa tena. Ukiangalia mfumo wa dini ya kiislam uko tayari kwa kujikinga na magonjwa mengi sana, jifunze zaidi utaona.
Waislam wanajuwa kuwa sanitizer ni pombe (alcohol)?
 
Back
Top Bottom