Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi
na uongo ni upi
Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko
ulaya Hijab sio vazi la kukataza.
Ukweli ni kuwa ukishika udhu au kunawa
mara tano Kwa siku, unajilinda na
maambukizi tele na msikitini hawaingii wala
virusi vya popo na nguruwe
Uongo ni huu, kuna story Yesu alipigwa busu
na yule aliemsaliti, hii story ukiileta Kwenye
context ya sasa ya corona, yule aliembusu
yesu angemuambukiza yesu corona so yesu
angekufa Kwa corona na sio msalabani, hii
inadhihirisha tukio la msalabani ni uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app