Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Sasa boss mbona wanaturuhusu kusoma kwenye nchi zao?Wazungu bhana hawana kitu cha bure sio kwa waafrika bala hata kwa wazungu wenyewe. Elimu wanayokupatia ni kwa faida yao kuweza kupata chip leba na vibaraka kwaajili ya kuendeleza ukoloni mambo leo, sio elimu ya kumfanya mwafrica aweze kuiendesha nchi, kutengezeza sindano, gari wala baiskeli.
Na tena tunasoma na wenyeji sawasawa