Waislam mnasemaje kuhusu kuacha kushikana mikono baada ya swala Msikitini?

Na wakristu hapana mikono kwa jirani yako wakati wa sala ndani ya kanisa.
 
Nadhani uko na hoja pakini Kuna Jambo umelisahau kuhusu wazungu(wakoloni). Chanzo Cha shida zetu za Sasa zinatokana na wazungu kuendeleza ukoloni mamboleo.

Haiwezekani viongozi woooote wa Africa wawe wapuzi, bila shaka wanakumbuna na minyonyoro ya ukoloni mamboleo kila kona na kila hatua wanayotaka kupiga
 
Mkuu mbona nguruwe ni mtamu sana hivi hujawahi kuonja nakuapia hutoacha utataka kila weekend
 
Allah kaleta corona kudhihirisha ukweli ni upi na uongo ni upi

Ukweli ni kuwa ukivaa hijab ukijifunika uso
Huna haja ya kuvaa mask, imedhihirika huko ulaya Hijab sio vazi la kukataza.

**********
Vp kwa upande wa wanaume akhy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo ulipokunya
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kabla ya kuswali unatakiwa kuwa umepata udhu kwa kujisafisha, hivyo kama utatumia maji safi ya sabuni au hata sanitizer huna haja ya kohofu. Na ukitoka kuswali nawa tena. Ukiangalia mfumo wa dini ya kiislam uko tayari kwa kujikinga na magonjwa mengi sana, jifunze zaidi utaona.
 
Ni kweli tupu. Hata maiti inazikwa katika hali ya usafi. Bonya YouTube ujifunze jinsi ya kuosha maiti kwa imani tajwa
 
Mkuu naona Umeunganisha tuu, umefanya Connection.
Lakini ni Lazima ufahamu kwamba lengo la hijab/Nihab etc Lengo lake kuu ni Kijistiri, na Sio Corona kama ambavyo wewe unataka kuaminisha watu, Tena unaanza kulinganisha na Dini nyingine?

Je ni kweli kwamba Udhu intention yake ni kwenye Kujisafisha kujikinga na Corona au Kwa ajili ya Usafi wa kiibada? Je Corona isingekuja Haya unayoyasema ungeyasema Kama yalivyo?

Hijab,Nihab Ni mambo ya Kujistiri, na udhu ni kwa ajili ya Usafi wa kiibada na si Corona, Maana Corona imekuja imekuta Waislamu wana Utaratibu wao tayari.

Nadhani ni vizuri ungeconnect pasi na kuingiza au kufanya comparison.
 
tatizo nini kumpa mkono mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti ijumaa unasalia nyumbani? hahaha hiyo itakuwa adhuhuri ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu bhana hawana kitu cha bure sio kwa waafrika bala hata kwa wazungu wenyewe. Elimu wanayokupatia ni kwa faida yao kuweza kupata chip leba na vibaraka kwaajili ya kuendeleza ukoloni mambo leo, sio elimu ya kumfanya mwafrica aweze kuiendesha nchi, kutengezeza sindano, gari wala baiskeli.
 
kwani kuna mtu analazimishwa awe shoda? mashoga wooote wana zaidi ya miaka 18 kuamua au kukataa. Malezi yetu ndiyo yanayolegalega. Watu wanaolawitiana walikuwepo tangu enzi hizo za Sodoma na Gomola (kitambo kwelikweli).

Turudi kwenye hoja ya msingi kuhusu Uislam wetu kama ulivyoandikwa kwenye Quran na mabadiliko ya mazingira, technologia, magonjwa na tabia yanayotokea.
 
Mkuu unakosea sana, kwahiyo unapendekeza hata wanaume wavae hijabu na nikab, au veepee?
 
Waislam wanajuwa kuwa sanitizer ni pombe (alcohol)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…