Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Huu ndio ukristo ??

Jerusalem holds annual gay pride parade,​

Latest English News​

Hahahha mkuu mbona hujaweka hiyo mathayo tuisome?
Hao Jerusalem ni wakristo?
Wao kwani ndio Biblia ya wakristo kuwafuata?

Tuachane na visa vya sijui padri yule shoga au yule ostaz amelawiti maana hao sio muongozo wa dini bali ni watu tu kama wewe na mimi. Na binadam hajakamilika.

Mimi nataka twende kwenye maandiko ya uislam na ukristo (Biblia, Quran, Hadith) tuone yapi yamejaa ushoga.
Haya nimekupa uwanja wewe uanze na hiyo Mathayo uliyoiweka.
Em iweke hapa ili tuijadili. Tukimaliza namm ntaweka hadith tuijadili.

Nataka tujadili, sio kubishana
 
Hiyo niliyokuwekea Mathew 19 Hujaisoma ??
 
Hizi secret gospels zipo kwenye biblia?
Tukienda kanisani pale Temeke tukachukua biblia yoyote tutaikuta hiyo secret gospel?
Em acha kurukaruka na kuokota okota.
Tafuta ushoga kwenye biblia namm nikuletee ushoga kwenye hadith.
 
Unakusudia biblia ipi ???
 
Hiyo niliyokuwekea Mathew 19 Hujaisoma ??
Naona unaogopa kuiweka, ngoja mimi niiweke ili tujifunze..Btw ulisema mathayo 8:5-13...inaonekana hata wewe hujaisoma.

5:Yesu alipokuwa anaingia mjini Kafarnaumu, jemadari mmoja alimwendea, akamsihi 6akisema, “Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza na anaumwa sana.”
7Yesu akamwambia, “Nitakuja kumponya.” 8Huyo jemadari akamwambia, “Bwana, sistahili uingie nyumbani mwangu. Lakini sema tu neno, na mtumishi wangu atapona. 9Maana, hata mimi niliye mtu chini ya mamlaka ya wengine, ninao askari chini yangu. Namwambia mmoja, ‘Nenda!’ Naye huenda; na mwingine, ‘Njoo!’ Naye huja; na mtumishi wangu, ‘Fanya kitu hiki!’ Naye hufanya.”
10Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia watu waliokuwa wanamfuata, “Kweli nawaambieni, sijapata kumwona mtu yeyote katika Israeli mwenye imani kama hii. 11Basi, nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaka na Yakobo katika ufalme wa mbinguni. 12Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.” 13Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.

haya em elezea ushoga uko wapi hapo
 
Hujajibu hapo hiyo ni biblia ipi , ??? na nani alikutafsiria hiyo biblia ??
 
weye huna dini ni kafiri ??
Umewaona lakini vitukuu vya ntume vinavyosasambua? 😂😂😂😂

Ndio madhara ya kujifungia wanaume peke yenu sasa hapo wanakulana Tigo si Kawaida 🤣🤣🤣🤣
 
Umewaona lakini vitukuu vya ntume vinavyosasambua? 😂😂😂😂

Ndio madhara ya kujifungia wanaume peke yenu sasa hapo wanakulana Tigo si Kawaida 🤣🤣🤣🤣
Ndio dini yako hiyo ?
 
Kama mnavyoona na na kusikia.

Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.

By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.

Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
Alafu nimegundua wasichana waki Zanzibar wana pasuliwa sana na vijana wa kisukuma wanao kwenda kutafuta maisha kisiwan ...
 
Dini ya mudi hiyo shehe

Ikiwa huyo unayemfanya mungu yuko hivi kwenye biblia , jee nyinyi wafuasi wake , mtakuwa vipi ???

UKOO WA YESU

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vilewazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,

Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu,
hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnategemea nini?
 
Back
Top Bottom