Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Na ndiyo maana nikasema, siyo straight forward..!! Kuna masikini nao wataingia mtoni, na wapo matajiri watakaoingia mbinguni
Nami nakwambia hivyo hivyo sio straight forward ndio maana hata yesu akanena

Mathayo 19:23-24​

Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu
 
Naam,kwa sababu ataabudia kisichostahiki kuabudiwa
Unakielewa ulichokiandika? Kwani muislam nini kitamfanya akaabudu huko wanakoabudu wakristo..!? Kwa mujibu wa imani yako ndo unaona wanachokiabudu wengine ndo hakistahili kuabudiwa, kama ambavyo unayemtazama hivyo naye anakutazama hivyo hivyo
 
Unakielewa ulichokiandika? Kwani muislam nini kitamfanya akaabudu huko wanakoabudu wakristo..!? Kwa mujibu wa imani yako ndo unaona wanachokiabudu wengine ndo hakistahili kuabudiwa, kama ambavyo unayemtazama hivyo naye anakutazama hivyo hivyo
Mambo hayaendi hivyo tumia Akili hata Kidogo,ni sawa uulize mtu amzae mtoto Kisha ambake vipi polisi imkamate kwan mtoto si ni wake?
 
Aisee!!

Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.

Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.

Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.

Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Word....makelele yamezidi.
 
We niite vyovyote vile, UJINGA HUO SITAKUJA KUUFANYA
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٦﴾

"Hakika wale waliokufuru ni sawa kwao, ukiwaonya au usiwaonye wao hawatoamini"
-Qur'an (2:6)
 
Back
Top Bottom