Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Sababu ya matatizo yote duniani ni MAYAHUDI NA WATOTO ZAO MANASWARA ,hao CCM ni nn kwa Illuminati wa dunia hii?
Yeah...Hata mimi biashara zangu sikuiziz haziendi, Mayahudi ni watu wabaya sana
 
صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ ﴿١٨﴾

"Viziwi, mabubu, vipofu basi hawatorejea."
-Qur'an (2:16)
Mkuu wote MUNGU wetu ni mmoja, sisi wote tu wamoja jaribu kutafakari katika hilo, we pray to one GOD only, ingawa tunamuita majina tofauti you call him Allah we call him GOD they call him Jah

Takbir... Allahu-akbaru, do you feel me?

How about that huh?

Moderator usinipige ban

Nitarudi tena...
 
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٦﴾

"Hakika wale waliokufuru ni sawa kwao, ukiwaonya au usiwaonye wao hawatoamini"
-Qur'an (2:6)
Ni ujinga mwingine kunifanyia reference ya kitabu nisichokiamini..!!
 
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٦﴾

"Hakika wale waliokufuru ni sawa kwao, ukiwaonya au usiwaonye wao hawatoamini"
-Qur'an (2:6)
umebeba furushi la ujinga wala sio dini
 
Aisee!!

Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.

Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.

Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.

Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Uislam ulishakamilika kwa kila kitu so hakitalunguzwa kitu wala kuongezwa mbona makanisani asubh pia hua wanapiga kengele vp na yenyewe sio kero??
 
Dini ipo kwa ajili ya kutumiwa na watu, watu wasiojua au walosahau hilo huanza kutumiwa na dini . Aisee mziki wake sio mchache
 
Sasa wenyewe kanisa linawazuia nini? Na lina madhara gani kwao? Au ni upuuzi tu
 
Aisee...!!!! Makundi ya kigaidi majina yake na maneno wayatamkayo wakati wa kutekeleza ugaidi yanaashiria uislamu..! ISIS etc
Hawa jamaa huwa wanavunga eti Boko haram sio uislam...mda huohuo wanayofanya hayatofautiani na Boko haram
 
kwahiyo hayo makanisa yanajenhwa na waislam?
acha akili kisoda
usiwe mtu wa kujivunia dini

Wengine ndio Labda Yesu aliwafanya hivi

1665394721977.png
 
Back
Top Bottom