Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Ipo siku wakristo watakuwa wanateseka ndani ya Tanzania imeshaanza Zanzibar na mamlaka zimefumbia macho
 
Wana wasiwasi ukristo utashika atamu kwenye maeneo yao, yani kule Zanzibar wanafanya mambo ya ajabu utakuta kijana wa kizanzibari anavuta bangi mlevi hafanyi ibada mwizi lakini ikifika wakati wa mfungo wa Ramadhani akikuona mkristo unakula tu anataka kukupiga, mfano wazazi wakule mtoto wao akila kitimoto familia inamtenga lakini mtoto huyo huyo akivuta bangi akiwa mlevi akiwa mwizi familia haioni tatizo, kule wazanzibari bari ndiyo wanaoongoza kwa uasherati na ulevi, yani wakati wa mfungo wa Ramadhani bar zote zinafungwa mama lishe hawaruhusiwi kufanya biashara ya vyakula mchana, Ramadhani ikiisha kesho yake bar na Gest zinafunguliwa.
Mimi naona waislam wangeishia kuwa wajinga tu ingetosha.....ila ujinga + unafiki???? Aaah it's too much aisee
 
Tatizo Ni moja hao watu huwa Wana plans za kuvuruga tamaduni zilizopo...athari za hao Ni long-term effects......Nina mifano mingi hasa nyumbani,,,hapo watajenga na bar,guests kumbi za miziki na kutoa misada ya kukufurisha waislamu
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Wao hufanya hayo hadharani, lakini yafanywayo gizani na hao waislamu wanaopinga gesti, bar etc ni hatari sana. Kama unakufahamu Msimbati, kule mtwara, kile kijiji kina % kubwa ya waislamu. Hawataki gesti ijengwe pale. Lakini nenda beach kuanzia saa 1 usiku wakati giza lishaingia, NI UZINZI KWA KWENDA MBELE KULE KWENYE MCHANGA WA BICHI..!! Halafu kijiji ni kidogo na almost wote wanafahamiana. Sasa unamuna fulani yule anazini hapo na wewe upo na wako hapa..!!
Ninakadhia ya kuishi na hao jamaa karibu kwhy siungi mkono mkristo kutoka Mara aje kunijengea Mimi kanisa Mtwara ....kila watu na tamaduni zao kwhy tusiingiliane...
 
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
Usihusianishe uovu wa mtu na Imani yake anaweza kuitwa Musa lkn akawa Ni kufar...kule Moshi mchungaji kafanya yake kwa mabinti zaidi ya 10 Tena mtu mmoja
 
Kwahiyo kanisani wanaubili maovu?
Naam na ndio maana ulaya na America na popote palipo makanisa ndipo kwenye viwango vikubwa vya Mambo Kama uzinzi,ujambazi,,madawa ya kulevya,wizi,dhuluma,ukimwi,ulevi na kila Aina ya mabaya
Njoo hata hapa Tanzania,mikoa yenye makanisa mengi Kama Mbeya,Njombe,Arusha, Kilimanjaro n.k ndiyo yenye viwango vikubwa vya cases za mauaji,Ubakaji, Ujambazi,Ukimwi,uchuna ngozi,uchawi,wizi, dhuluma na mengineyo
 
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
Mmomonyoko wa maadili na maovu mengi yanayotokea Zanzibar offcourse ni kwa sababu ya external forces,hivi huoni kiwango Cha wageni wanaoingia kutalii kule? Hivi hujaona tofauti ya sehemu zisizotembelewa na idadi kubwa ya wageni na zile zinazotembelewa?
 
Back
Top Bottom