Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Watake wasitake kanisa litajengwa, ninachojua ni kuwa watakuja kushukuru baadaye!! Wote hao wanaoandamana wamejaa mapepo! Hayo mapepo ndiyo yanayowasukuma kuandamana maana yanaujua moto wa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU!! Mapepo yatakuwa yanawatoka kwa huduma ya kanisa hilo na mapepo yakiwatoka watashangaa kwa nini walikuwa wanapinga kitu kizuri kama huduma ya kanisa!! Tembelea miezi kadhaa tu baada ya ujenzi wa kanisa hilo utakuta sehemu kubwa ya washirika ni wale waliokuwa wameandamana kulipinga!! Nikukumbushe kitu, hao wapemba hawajafikia hata robo ya upinzani aliokuwa anautoa Paulo (Sauli enzi hizo) kwa kwa kanisa!! Mwisho wa siku Paulo ndo akaja kuwa mdau mkubwa sana wa Kanisa!!
 
Acha ujinga wewe, hapo unaandika unatumia elimu gani? Acha kuonesha ujinga wako hapa.
Umesoma mtiririko wa comments mpaka kufikia comment yangu ukajua kwanini nimeandika vile? Hebu soma quotes hizo mpaka ufike kwa yule ambaye Nuzulati alimquote mwanzo. Ndio utajua kwa nini nimeandika hiyo kejeli.
 
faida zipo nyingi sana ,

matibabu hospitali ni mojawapo ya faida ya elimu dunia.

internet unayotumia, smartphone uliyoishika, na hata hii jamiiforums unayoandika comment zako zimeletwa na Elimu dunia.

huyo

ili atambue haya uliyomueleza, anatakiwa kwanza awe na elimu ya kutosha, yaani elimu dunia
 
Back
Top Bottom