Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unakijua unachoongea?? Kwa hiyo waliokuwa wanajenga ni akina nani? Hakuna wafanyakazi wakristo kule?Wapemba asilimia 100 waislam Hilo kanisa anaswalia nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakijua unachoongea?? Kwa hiyo waliokuwa wanajenga ni akina nani? Hakuna wafanyakazi wakristo kule?Wapemba asilimia 100 waislam Hilo kanisa anaswalia nani
Nuzulati , nakuuliza tena, UNAUNGA MKONO YALE MAANDAMANO?Wakiambiwa ukweli wanapaniki
Kuna kanisa huku mtaani ukisikia mziki utasema wapo wengi pita karibu wawili
Nyuzi kama hizi huwezi kumuona mzee Mohamed Said , ingekuwa vice versa angekuwa mchangiaji wa kwanza hapa akitoa historia ya unyanywaswaji wa waislamu
Hivi kila watu wakiandamana kupinga watu wa imani nyingine kujenga nyumba yao ya kuabudia patakalika?Na wewe umetengeneza nini kwa hiyo "Elimu Dunia"? Au wewe unakariri tu ila huna ulichokigundua?
naona wananchi wote wa eneo hilo ni wajinga wajinga, hata kwa kuwaangalia tu kwenye hiyo video
Maandamano hayafai katika Uislam.Hivi kila watu wakiandamana kupinga watu wa imani nyingine kujenga nyumba yao ya kuabudia patakalika?
Wale walioandamana ni wakrito..??Maandamano hayafai katika Uislam.
Umesoma mtiririko wa comments mpaka kufikia comment yangu ukajua kwanini nimeandika vile? Hebu soma quotes hizo mpaka ufike kwa yule ambaye Nuzulati alimquote mwanzo. Ndio utajua kwa nini nimeandika hiyo kejeli.Acha ujinga wewe, hapo unaandika unatumia elimu gani? Acha kuonesha ujinga wako hapa.
Swali zuri Sana...anaona tuform twake twa maana ....Wewe elimu dunia imekupa faida gani?
Ni Waislam ila wanafanya makosa. Hata kama wanataka kufikisha malalamiko yao, sio kwa njia ya maandamano na fujo.Wale walioandamana ni wakrito..??
Utakufa na chuki zako wewe mvaa rozari ya mpapai...Tulionya juu ya kuwaachia huru wale mashehe magaidi..stay tune more worse to come.
#MaendeleoHayanaChama
faida zipo nyingi sana ,
matibabu hospitali ni mojawapo ya faida ya elimu dunia.
internet unayotumia, smartphone uliyoishika, na hata hii jamiiforums unayoandika comment zako zimeletwa na Elimu dunia.
Hapa ndo mnapoonyesha akili zenu halisiUtakufa na chuki zako wewe mvaa rozari ya mpapai...
Nurain , wewe unaunga mkono yale maandamano?Swali zuri Sana...anaona tuform twake twa maana ....
Huyu utamkuta sites za kujiuza akipiga business kama kawaida Ila linapokuja suala la dini anauvaa unafiki na kujiona yeye malaika.
Usimdhanie mtu kwa kumpimia uovu bila ushahidi ......Huyu utamkuta sites za kujiuza akipiga business kama kawaida Ila linapokuja suala la dini anauvaa unafiki na kujiona yeye malaika.