Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Kwa mujibu wa ahl Elim maandamano hayafai....lkn ukweli unabaki palepale huwezi kudai Haki kwa mtu asiyejua Haki ni Nini.....Kuna muda watoa haki wanasigina Haki za watu kwa hila na uzandiki....
Asante kwa majibu..!! Maandamano hayafai, wale wakristo kujenga nyumba yao ya kuabudia pale Pemba, wewe kwako unaonaje? Ni sawa au si sawa?
 
Usimdhanie mtu kwa kumpimia uovu bila ushahidi ......
Hey!!!

Take it easy,umewahi waona wanaojiuza picha wanazo-post kujitangaza?zina tofauti gani na iliyopandishwa hapa kasoro sura tu imefichwa!

Note:sijahukumu nimeeleza kwa uhuru kile ninachokiamini.
 
Huyu utamkuta sites za kujiuza akipiga business kama kawaida Ila linapokuja suala la dini anauvaa unafiki na kujiona yeye malaika.
Hatari sana ila mimi siamini hivyo mkuu usiwe negative sana mavazi sio tabia ya mtu
 
Asikwambie mtu..!! Mavazi, kauli, matendo na muonekano kwa ujumla, husema tabia ya mtu..!! Kuna wanaojikamafleji, sawa, lakini wapo ambao mavazi yao husema tabia zao..!! We mtu kavaa kata KEI unawezaje kushindwa kukaridia tabia zake? AU mwanaume kavaa kama mwanamke, utasemaje hapo?
 
Asante kwa majibu..!! Maandamano hayafai, wale wakristo kujenga nyumba yao ya kuabudia pale Pemba, wewe kwako unaonaje? Ni sawa au si sawa?
Tatizo Ni moja hao watu huwa Wana plans za kuvuruga tamaduni zilizopo...athari za hao Ni long-term effects......Nina mifano mingi hasa nyumbani,,,hapo watajenga na bar,guests kumbi za miziki na kutoa misada ya kukufurisha waislamu
 
Wao hufanya hayo hadharani, lakini yafanywayo gizani na hao waislamu wanaopinga gesti, bar etc ni hatari sana. Kama unakufahamu Msimbati (kule kwa bibi wa gesi haitoki), kule mtwara, kile kijiji kina % kubwa ya waislamu. Hawataki gesti ijengwe pale. Lakini nenda beach kuanzia saa 1 usiku wakati giza lishaingia, NI UZINZI KWA KWENDA MBELE KULE KWENYE MCHANGA WA BICHI..!! Halafu kijiji ni kidogo na almost wote wanafahamiana. Sasa unamuona fulani yule anazini hapo na wewe upo na wako hapa..!!
 
Asikwambie mtu..!! Mavazi, kauli, matendo na muonekano kwa ujumla, husema tabia ya mtu..!! Kuna wanaojikamafleji, sawa, lakini wapo ambao mavazi yao husema tabia zao..!! We mtu kavaa kata KEI unawezaje kushindwa kukaridia tabia zake? AU mwanaume kavaa kama mwanamke, utasemaje hapo?
Sometimes yapo mavazi yanayotoa tafasiri ya mtu mfano kanzu au baibui au baragashea hutoa tafasiri kua huyu ni muislam ila usisaha kwamba hata mapadri na maaskofu pia wanavaa kanzu yenye muundo tofauti ila zote ni kanzu sio kuonyesha tabia zake inategemea amevaa wapi na kwa nini,

Nazungumzia mavazi mkuu sio namna ya kuvaa mavazi km mlegezo hio ni namna ya uvaaji ambayo watu baadhi wamejiundia kwa sababu zao wao binafsi ila mavazi sio tabia ya mtu

Mimi mzee wangu anavaa kanzu na baragashea ila sio muislamu

Ushaelewa?
 
Hawa kiboko yao ni Kagame .
Kagame kasahau haraka sana,Wanyarwanda waliokimbilia Miskitini wakati wa Mauwaji ya Mbari ya Kitutsi asilimia kubwa walisalimika.
 
Sometimes yapo mavazi yanayotoa tafasiri ya mtu mfano kanzu au baibui au baragashea hutoa tafasiri kua huyu ni muislam ila usisaha kwamba hata mapadri na maaskofu pia wanavaa kanzu yenye muundo tofauti ila zote ni kanzu sio kuonyesha tabia zake inategemea amevaa wapi na kwa nini,

Nazungumzia mavazi mkuu sio namna ya kuvaa mavazi km mlegezo hio ni namna ya uvaaji ambayo watu baadhi wamejiundia kwa sababu zao wao binafsi ila mavazi sio tabia ya mtu

Mimi mzee wangu anavaa kanzu na baragashea ila sio muislamu

Ushaelewa?
Nakuelewa sana mkuu.
 
Naona ligi za wakiristo na waislam zinaendelea. Hizi dini zinaleta divide kubwa sana kwa mwanadamu. Tunashindwa kuelewa kwamba kila mmoja yuko hapo kwa default. Dunia nzima hizi dini 2 ndio zimeleta balaa kwenye huu ulimwengu, dini nyingine wala. Hivi hamjiulizi, duniani kuna watu wnzkaribia bilioni 8, waislam na wakristo hawafiki hata bilion 4. Kati ya hao bilioni 4 wanafuata kikamilifu hizo dini hata nusu hazifiki. Hebu rujiulize, ina maana karibia ya watu wote duniani watachomwa moto kwa sababu si wafuasi wa dini hizo? Kwa nini Mungu hakuwatuma manabii kutoka kwenye nchi husika mpaka asubiri miaka sijui maelfu kama si mamilioni ndio atume mtu kutoka Asia au Ulaya aende akawaambie binadamu wengine kama mimi ndio Mungu wa kweli. Mungu pamoja na ukuu wake wote huo tunashindwa kujiuliza. Kutwa kucha ni kubishana eti mimi dini yangu ni ya kweli? Tuache upuuzi wa kubishana kuhusu dini. Tujifunze kuvumiliana maana hakuna ajuaye kesho
 
Kila sehemu wanapokaa waislam ni machafuko. Kanisa lijengwe kuwafundisha ustaarabu hao viumbe.
Halafu hapa Tanzania, sijawahi sikia wakristo kuchoma msikiti, LAKINI HAWA NDUGU ZETU WASHACHOMA MAKANISA MENGI SANA.. Huwa siwaelewi, when it comes to kuishi na wasio na imani kama yao, huwa inakuwa tabu sana..!!! Mara watubomolee mabucha yetu ya kitimoto, mara wanilazimishe kunichinjia kuku wangu mwenyewe..!! Tabu tupu..!!
 
Naona ligi za wakiristo na waislam zinaendelea. Hizi dini zinaleta divide kubwa sana kwa mwanadamu. Tunashindwa kuelewa kwamba kila mmoja yuko hapo kwa default. Dunia nzima hizi dini 2 ndio zimeleta balaa kwenye huu ulimwengu, dini nyingine wala. Hivi hamjiulizi, duniani kuna watu wnzkaribia bilioni 8, waislam na wakristo hawafiki hata bilion 4. Kati ya hao bilioni 4 wanafuata kikamilifu hizo dini hata nusu hazifiki. Hebu rujiulize, ina maana karibia ya watu wote duniani watachomwa moto kwa sababu si wafuasi wa dini hizo? Kwa nini Mungu hakuwatuma manabii kutoka kwenye nchi husika mpaka asubiri miaka sijui maelfu kama si mamilioni ndio atume mtu kutoka Asia au Ulaya aende akawaambie binadamu wengine kama mimi ndio Mungu wa kweli. Mungu pamoja na ukuu wake wote huo tunashindwa kujiuliza. Kutwa kucha ni kubishana eti mimi dini yangu ni ya kweli? Tuache upuuzi wa kubishana kuhusu dini. Tujifunze kuvumiliana maana hakuna ajuaye kesho
Ulichokiandika umenena
 
Back
Top Bottom