Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Ukitaka kujua wengi hawana elimu, fanya hata research humu. Hawa ndugu inapaswa kuwapeleka shule kwa lazima, chalaza sana viboko , vua vibaraghashia vyao, vua mabaibui yao, vua sijui hijab na ujinga mwingine wanaovaa alafu washikishe kwa lazima kitabu cha kujua kusoma na kuandika. Rudia hii process mpaka wote wapate akili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Hili suala lishughukikiwe kwa umakini wa hali ya juu linagusa usalama wa taifa.
 
Aisee!!

Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.

Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.

Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.

Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Kagame Rwanda kakomesha hayo maspika
 
Yanatupigia makelele tu mtaani, hayo maspika na wale wahubiri injiri wanaotumia vipaza sauti na maspika kwenye stend, wote wanachafua mazingira kwa makelele yao.

Hizi adhana tunaweza vumilia maana hazichukui muda mrefu, ila inakuwa ni kelo hizi nyumba za ibada zinapokuwa kwenye makazi ya watu,
Nyumba za ibada lazima ziwe kwenye makazi ya watu maana watu ndio walengwa na ndio wanaoabudu! Huwezi kwenda kuwinda swala baharini, inabidi ukawindie porini waliko swala!! Bila shaka umeelewa sasa!!
 
Sio dhambi Kama hutapeli,hunyonyi,wengine,hudhulumu,huli riba,huuzi visivyohalalishwa na mengineyo
Na ndiyo maana nikasema, siyo straight forward..!! Kuna masikini nao wataingia mtoni, na wapo matajiri watakaoingia mbinguni
 
Back
Top Bottom