Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

App na website ya jamiiforum ambayo wewe unaitumia Leo ni matokeo ya elimu dunia
Nuzulati hawezi kukuelewa linapokuja suala la dini yao, Uislamu na waislamu! Tanga kidogo kwa ajili ya maingiliano ya watu wa bara , kidogo kwa mbali kwa walioenda shule kidog, wanaweza kutambua haki za dini zingine
 
Kinacho nichekeshaga huwa ni wakali ukiwaambia ukweli kwamba fuse zimekatika. Huwezi ukajiona wewe ni bora kuliko mwenzako. Hapo wanagoma kanisa lisijengwe kwa imani zao ila ndani wanafuga mijoka ya kuwaletea hela. Na hii comment nayo watatokea wa kuja kutukana🤣
 
Kama mnavyoona na na kusikia.

Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.

By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.

Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744


1665371801048.png
 
Hawa ndugu zangu wamekosa akili, hekima na uvumilivu wa kiimani.

Kama walivyo huru kuamini katika uislamu na kujenga misikiti, ndivyo hivyo hivyo wanapaswa kujua kuna watu wengine wenye Imani tofauti wenye haki ya kuwa na uhuru huo huo.
Wajinga Pemba wako wakristo sasa wanataka wakasali msikitini ? Si wanatakiwa kuwa na majengo yao
 
Anawahii🐖🐖🐖

Ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.....
Kwenye huo msafara wote sidhani kama kuna mtu alifika walau kidato cha sita au nne.
Hao ndio wanaosombwa na kujazwa kwenye balozi zetu za nje na mpemba mwenzao na kuwaondoa watanganyika. Sijui kwanini kila tukiwa na rais mwislamu lazima chokochoko kama hizi zionekane
 
Back
Top Bottom