Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Si wana building permit?
 
Hawa ndugu zangu wamekosa akili, hekima na uvumilivu wa kiimani.

Kama walivyo huru kuamini katika uislamu na kujenga misikiti, ndivyo hivyo hivyo wanapaswa kujua kuna watu wengine wenye Imani tofauti wenye haki ya kuwa na uhuru huo huo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

Sio poa yaan wanazuia kanisa lisijengwe maana wanajua nguvu ya kanisa, wanawake woooote wa kiislam watahamia kanisani maana walishaanza kuvua hijab sasa kinachofuata ni kuwahama kabisa

Sijasema mimi kuna mwamba nimemnukuu hapo juu

Nipishe nipite nitarudi...
 
Hawa kiboko yao ni Kagame .
 
Hata hiyo hijabu unayovaa ni matokea ya utaalamu wa elimu dunia. Kitabu kipi cha dini chenye formula ya kutengeneza mashine ya kufuma nyuzi zikatengeneza jora la kushonea hijabu?
Tulia basi wewe!!!!
Na wewe umetengeneza nini kwa hiyo "Elimu Dunia"? Au wewe unakariri tu ila huna ulichokigundua?
 
Adhana ni jambo la kisharia sio ubunifu wa kiteknolojia. Unatakiwa ulijue hilo.
 

Zenj kawaida, Kuna wahafidhina kule wakiona mkristo, au kuusikia nyimbo za kikristo, wanachanganyikiwa hatari, mpaka Unajiuliza kama Mungu wao wanayemuabudu ana nguvu kama wanavyosema kwanini hawapendi apingwe au maandishi yake yahojiwe?

Ila Hawa jamaa ni wanafiki sana, wapo tayari kuvumilia, ufuska unaofanywa na wanawake wao kwenye magesti wakiwa wamevaa hijabu,matamasha ya mashoga, ulawiti nk, lakini wasisikie jina la kikristo tu.
 
Adhana ni jambo la kisharia sio ubunifu wa kiteknolojia. Unatakiwa ulijue hilo.
Yanatupigia makelele tu mtaani, hayo maspika na wale wahubiri injiri wanaotumia vipaza sauti na maspika kwenye stend, wote wanachafua mazingira kwa makelele yao.

Hizi adhana tunaweza vumilia maana hazichukui muda mrefu, ila inakuwa ni kelo hizi nyumba za ibada zinapokuwa kwenye makazi ya watu,
 
Kuna jipya gani kwenye makanisa yenu zaidi ya kutongozana na kuuwana jumlisha ushoga yaani upuuzi mtupu ndio utushawishi
 
Dah hii ni changamoto sana, japo haisemwi. Sina shida na adhana zingine, ila Ile ya alfajir ni kisanga
 
Waislamu siasa kali huwa harakati zao zinakuwa juu mno Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwa muislamu wamesumbua sana kipindi cha Mwinyi na Kikwete yaani Raisi Samia naye ajiandae ndio wanaanza hivyo mwendo mdogo mdogo

Mwinyi walimtandika hadi makofi kwenye hafla ya kiislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…