Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Injili ni lazima ifike kila mahali ili siku ya kiama kusiwe na kisingizio. Pamoja na hayo maandamano trust me kama sio leo bas hata mwakani ni lazima kanisa kama mwili wa kristo ujengwe Pemba na ndo maana hata uko Iran tyr kuna kanisa...
 
Huoni aibu kuropoka huu utumbo....huna reference kaa kimya dogo
Pita hapo uelimishwe

 
hao ni wapumbavu tu
usipagawe na wajinga wachache
watu hawajawahi hata kusafiri

wamejichimbia visiwani kama mafala
waje huku kariakoo wawaone wapemba wanzao wenye akili jinsi wanavyochangamkia fursa na hao wakristo ndio wateja wao wa kila siku
hivyo vibandiko walivyovaa kichwani vimezuia akili yao ya kufikiria, yamekuwa kama machizi
Upo Sahihi kabisa Mkuu. Tatizo ni Ujinga na Ulimbukeni
 
Aisee!!

Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.

Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.

Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.

Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Mm mkristo lakini sisumbiliwi na hilo ndo uvumilivu wa kidini huo .
 
Hawa ndugu zangu wamekosa akili, hekima na uvumilivu wa kiimani.

Kama walivyo huru kuamini katika uislamu na kujenga misikiti, ndivyo hivyo hivyo wanapaswa kujua kuna watu wengine wenye Imani tofauti wenye haki ya kuwa na uhuru huo huo.
Subiri matusi na kuitwa KAFIRI
 
Kuna jipya gani kwenye makanisa yenu zaidi ya kutongozana na kuuwana jumlisha ushoga yaani upuuzi mtupu ndio utushawishi
Ushoga umetamalaki zaidi katika misikiti, mikubwa USA, CANADA, SA n.k

Huko Zanzibar na Pwani yote ninyi Waislam ndio waasisi wa kuwaharibu wanawake nyuma na Ushoga mliasisi ninyi

Mwaita mambo ya pwani
 
Kutafuta kazi TRA, POLICE, au Uhamiaji kwa hongo ili ale rushwa
Hapo elimu ndio walipoifikisha
Kusoma sana ili uwe mwizi [emoji1]
Ndio maneno yenu na lawama mliokosa Elimu dunia

Kwa elimu akhera mtaishia kutawadha tu
 
Acha ujinga unataka kunizungumzia mimi au mada ya jf[emoji51]
Asikuzoee huyo Mgalatia, hajaona hii picha yako ndani ya hijab

IMG_20211104_113910.jpg
 
Nabii Issa siyo Yesu na wala Yesu sio nabii Issa.
Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na Issa alizaliwa chini ya mti.
Miji waliyozaliwa ni tofauti kabisa.
Msilazimishe kuwa Yesu ni Issa.
Wafundisheni watu wenu kuwa Issa ni nabii na Yesu hamuhusiki naye.
Unaongelea Yesu wa biblia ipi?
 
Waandamanaji wengi wamevaa yebo yebo,sijui hichi kipimo cha kupanda uchumi uwa wanaangalia vigezo gani.
 
Back
Top Bottom